Nejad Rocket
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 298
- 197
Habari zenu Jf niliomba ushauri kuhusu kuomba kuruhusiwa na mke wangu ninywe Kwa Uhuru.
Nilimuomba Jana usiku Kwa unyenyekevu kabisa huku nikimwambia nilishauriwa na daktari kabla sijamuoa Bali nilimficha kuhofia kumkosa.
Alisita lakini akakubali nikamwambia kama haamini amuulize ba mdogo ambae ni mla bia pia nishampanga.Kasema nisinywe sana baada ya miezi sita nilioshauriwa na dokta ikiisha niache.Hivi ninavyoandika nalamba chupa ya Tusker kiulaini[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]