Meseji za tatu mzuka na biko zinachosha mno

Meseji za tatu mzuka na biko zinachosha mno

beco

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
1,339
Reaction score
787
Hbr Wana jf

Mimi nakereka kupokea meseji kila siku za tatu mzuka na biko ,hivi hakuna namna ya kuziblock ??
Asubuhi tu meseji mchana meseji yaani Kwa kweli nakereka nikifungua txt nakukuta ni hayo madude
 
Pole wazee wa kubet mimi sijawahi kuiona hio meseji hata kufanana kwake sikujui
 
Biko wapuuz sana kila dakika kula kwenyewe wanakula mafundi wa ujenz,waokota makopo na mama lishe hilo si dili wanacheza.
 
Bora hao kuna watu wanajiita mojabet hao ni upuuzi wa kufa mtu saa nane ucku, asubuhi, mchana, alasiri, alfajiri...... Infact jamaa wanakera hakuna mfano ni kila wkt. Wakati namalizia kutype hapa kuna msg tatu tayari inbox wameshatupia mfululizo.....
 
Mkuu sio pekee yako,, yaani nataman kubadilisha namba ya simu.
TCRA wamelala usingizi wa pono, ziko wapi haki za mlaji??
Makampuni ya simu MNATUKERA WATEJA WENU #TIGO#MKIONGOZA #.
 
Bora hao kuna watu wanajiita mojabet hao ni upuuzi wa kufa mtu saa nane ucku, asubuhi, mchana, alasiri, alfajiri...... Infact jamaa wanakera hakuna mfano ni kila wkt. Wakati namalizia kutype hapa kuna msg tatu tayari inbox wameshatupia mfululizo.....
Hawafai mkuu mpaka najuta ni kwanini nilijaribu
 
Mbona mimi sizipati wakuu,
Mtakua mlishiriki ndio maana
 
Yaani.Mara utatajirikaaa sijui Jana katoa huyu. Aiseee
 
mi huwa napata za biko. niliwahi kushiriki siku za huko nyuma. sasa imekuwa kama adhabu zinakuja kutoka asubuhi hadi usiku. nilipigia mtandao wangu kuwataka kuwasitishe wakasema wao hawawezi niwapigia hao biko.
 
Back
Top Bottom