Omutwale
JF-Expert Member
- Feb 4, 2008
- 1,429
- 1,045
- Mkataba kusainiwa rasmi ijumaa
·John Rugarabamu
·Kahesha Denis
·Fadhil Ibrahim
·Derick Kimasha
·Venance Magesa
·Mwanahawa Khasim
Lengo ni kupata walau Madiwani 8/14 mwaka 2010 na kuunda Council.
Mafanikio ya Karatu na Tarime kutumika kama uthibitisho wa uwezo wa Chama mbele ya wananchi.
Wananchama wa CUF-BK na baadhi ya viongozi waanza kurejesha kadi kama risiti za DECI
Vijiwe vya kahawa ya asubuhi na jioni vyaongezeka sawia na mapigano yasiyoripotiwa na vyombo vya habari. Tarime ndogo iko hapa sasa. Hali ya BK-Town utafifiri uchaguzi ni kesho.
Natoka kidogo kwenda kusaga mtama wa kuweka kwenye mramba ili ijumaa tuwe na RUBISI ya kuwatosha wote watakaohudhuria. Kwa wasiokunywa pombe, Mramba utakuwepo.
Likyali Owa-ishe....