FAHAD KING
JF-Expert Member
- Sep 14, 2017
- 301
- 377
Vitu vya pekee ambavyo unatakiwa kujua mpaka sasa ni elimu unayoendelea kuipata, maisha halisi na muda wa masomo mpaka uhitimu. Nadhani wote tunafahamu kwamba mahitaji ya wafanyakazi kwenye mashirika mbalimbali ni chache kuliko wanaohitimu masomoni. Hali hii inaweza ikapelekea kuwepo kwa watu wengi mtaani pasipo kuajiriwa na ni burden kwa serikali na jamii kwa ujumla.
Tukianza na..
1:ELIMU UNAYOIPATA
Unapaswa kujua kwamba wakoloni waliharibu mfumo mzima wa elimu ya kujitegemea uliokuwepo Afrika na zaidi wamepandikiza elimu ya kutegemea 'white colar jobs'.Elimu tunayofundishwa mashuleni haina tija kwenye maisha halisi tuishio.Elimu hii lengo lake kubwa ni kumfundisha mwafrika awe mstaarabu,ajue kusoma na kuandika lakini si vinginevyo.Si ajabu sikuhizi kumuona mwenye phd,masters au degree yupo mtaani bila kazi hiyo ni kwasababu elimu aliyoipata si ya maisha halisi(elimu ya kiutafutaji)
WAZO...
Kila kijana ni lazima abadilishe mawazo akilini mwake.Ni lazima ajiwekee malengo yake kufika mbali pasipo kutegemea ajira.Anatakiwa achukue uamuzi mgumu wa kujimegua toka utegemezi kwenda kujitegea mwenyewe na kitu kizuri ni kwamba inawezekana japo ni kitu kigumu kidogo.
2:MAISHA HALISI
Maisha halisi ni kwamba hayahitaji uwe na vyeti ndo utusue maishani.Kitu kinachohitajika ni kwamba how are u going to face your problems with great determinations.Kinacho hitajika ni kivipi unaweza ukatatua changamoto ulizonazo?Elimu tunayotakiwa kuipata mashuleni ni ile ambayo huendana na mazingira halisi lakini jambo hili kwetu halipo ndo maana ukimuuliza mwanafunzi wa kidato cha nne a express kuhusu ohm's law kwenye physics hawezi.Kwahiyo wakati tunasoma tujaribu kuona maisha halisi
3:MUDA WA MASOMO
Assume mtoto ana miaka 7 ndo anaanza darasa la kwanza na miaka 7 baadae anahitimu akiwa na miaka 14.Sekondari anaingia akiwa ana miaka 15 na anafikisha miaka 18 ndo anamaliza.Advance anamaliza akiwa na miaka 21 na chuo inategemea na course yenyewe kwa maana wapo wanaosoma miaka 7 na si chini ya miaka 5.Ukiangalia vizuri utapata kugundua kwamba maisha yetu karibia yote tunayamaliza masomoni na ukilinganisha na life expectancy ya mtanzania ni miaka 54 sasa maisha utayafaudu lini?
Ni mawazo yangu nahitaji maoni yenu tafadhari Thinkertz