Wataalamu wa madini hii ni aina gani ya jiwe?!

Todito

Senior Member
Feb 6, 2013
154
357
msaada tafadhali

ninaweza kujua aina hii ya madini
89502ccf7a35bce0d1b7c495941c2011.jpg

fd191cd3512f9959467ec9da640a180e.jpg

cefa034169265dab798956fd76c8b8d2.jpg
 
Hayo Mawe hayana thamani yakiwa vipande vidogo hivyo ukienda Mererani yapo kila sehemu yametapakaa. Kazi yake kubwa ni kuchongea sanamu na lazima yawe makubwa sana yanaujinga wa kumomonyoka so ni mawe yasiyo na thamani japo kwa macho huwa yanapendeza sana kama gold vile au Shaba safi. Usiumize kichwa chako
 
Asante mkuu lakini haya naona hayamomonyoki sana
 
Asikuongopee mtu kuwa na uhakika wa asilimia Mia kuwa jiwe hili ni Aina gani labda kwa mzoefu wa muda mrefu sana wa Mawe na inapokuja hitajio la kuripoti kama taaluma ya Mawe inavotaka,
Hata uwe wa miaka Mia ya mzoefu shurti uliingize jiwe husika Maabara,
Haijalishi unalijua ama la.
Sayansi ndio itakayokupa uhakika.
Maabara kwenyewe nako hakiangaliwi kituo kimoja.
Sasa kinafanyika kitu gani na kitu gani,
Hapa si mahala Pake.

Kuhusu hilo jiwe lako,
Sijinadi,ila ninao ufahamu kiasi juu ya Mawe.
Tunaweza kufanya guessing kupitia picha lakini picha nzuri ambazo zimepigwa kwenye chanzo KIZURI cha mwanga.
Picha zako hazioneshi vizuri rangi inayolitawala jiwe.

Jaribu kupiga picha vizuri ukibadilibadili pembe za chanzo chako cha mwanga ikiwezekana piga hata video kisha nirushie kupitia WhatsApp no:+255-714-59-15-48.
 
mkuu umejibu poa sana

aliyenipa kaniambia nisiyauze
hata kwa bei gani anahitaji kifahamu tu ni aina gani ya jiwe shukrani sana
 
Back
Top Bottom