Ofisi ya Uhamiaji mkoani Kilimanjaro imeagiza wageni 94 wasiokuwa na kibai kuondoka mara moja nchini na kurudi endapo watakamilisha taratibu za uhamiaji
Wageni hao ni wakenya 71, Wanyarwanda 7...
Jana nilikua nasikiliza redio nikasikia taarifa moja ya serikali ya Uingereza haiwatambui wakimbizi kutoka Tanzania sijajua sababu ni nini lakini si Tanzania tu kuna baadhi ya nchi nyingine kama...
Msanii wa Hip Hop nchini Rashid Makwiro 'Chid Benz anashikiliwa tena na jeshi la polisi mkoani Dodoma kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya na hii inakuwa mara ya tatu kwa msanii huyu kukumbwa...
UkitazamaTV, kusikiliza radio ama kusoma magazeti ukakutana na habari inayolihusu jeshi letu la police lazima, habari hiyo lazima itakuwa ni ya kihalifu ama kutoa makatazo ama matamko.
Mimi...
Chama hakijulkan nan kapewa ridhaa ya kuwa msemaj wa chama
Kila mtu anatafuta pa kupatia kiki ili asipotee ktk kpnd hiki cha uncle Magu
Kila mtu anataka kusemea jambo
Mwenzao kapata zali la...
Wana jamnvi
Kwanini hawa wenye makampuni kama ya TATU MZUKA... wameshindwa kuwa na link ya kulipia hela ya kucheza bila ya kupitia mitandao ya simu, maana ukilipia kwenda TATU MZUKA... lazima...
Hakuna kitu kinaitwa utamaduni wa Mtanzania. Kumekuwa na tabia ya wananchi kuamini kuwa Tanzania ina utamaduni na hasa pale jambo fulani linapotokea au katika njia ya kuhamasisha, kutetea na hata...
Wadau
Benki inapokua inafilisiwa, Deposit Insurance Board (DIB) ambayo ipo kwa mujibu wa kifungu cha 36 na 37 cha Sheria Na. 5 ya Mabenki na Taasisi za Fedha ya mwaka 2006, hufanya utaratibu wa...
Kumekuwa na tabia kwa hawa wafugaji wa kimasai kwa hapa Kilimanjaro ukiwa unatoka boma ng’ombe kuelekea Arusha sana sana boma via kia & boma to Arusha kuna punda wanatuharibia Magari sana arafu...
Huu uzi nlitaman niuite "Kukiri Kwangu" au "My Confession"...
Turudi kwenye mada.....
Wale wezangu ambao tuna story ambazo uwa zinasutu nafsi zetu karibuni tujadiliana.....
Nianze na ya...
Jamani, natambua umuhimu wa askari wetu katika kuongoza magari. Lakini napata shida kujua vigezo wanavyotumia kuweka upande mmoja zaidi ya nusu saa hadi saa nzima, bila kujali kuwa, kuna wanaowahi...
Kwa wale ambao walikuwa wanapenda sana kusikia nini kimetokea katika hayo maeneo na kufurahi naona sasa hawana tena la kusema au kuchangia katika vijiwe vyao kwani vyombo vya ulinzi na usalama...
Wakuu,
Imefahamika bila shaka watu waliofanikiwa au matajiri ni watu wenye nguo chache sana za kuvaa. Hii ni kwa sababu wapo bize sana na mambo ya biashara na maisha na hawana muda wa kupoteza...
Si mara moja kukuta mtu akichanganya kati ya wanyama hawa wawili, Chui na Duma (Cheetah) anapowaona kwenye hifadhi mbalimbali hapa nchini. leo nimeona nilete kwako tofauti zako ili usiendelee...
Tumeshuhudia Rais wetu Magufuli wakati wa sherehe za mwaka Jana za Uhuru wa 9 Disemba, akifanya tukio lililoshangaza dunia, kwa kuwasamehe wanamuziki Nguza Viking na mwanaye Papii Kocha, ambao...
Tangia kuwnzishwa kwa mfumo wa vyama vingi nchini mwaka 1992 na kupelekea kuanzishwa kwa vyama vingi, mazingira ya kuinuka na kustawi kwa upinzani hayajawahi kuwa bora kama ilivyo hivi leo...
Kumekuwa na imani kwamba kama utamtendea mwenzio ovu basi nawe litakupata kama si wewe bsi uzao wako wao wanaita "karma"
sasa unakuta unataka lipiza kisasi, ama mtu kakukera unataka umwoneshe...
Kutokana na hali ya mvua kwa miaka yote kuleta madhara makubwa katika barabara ya Morogoro, eneo la bonde la mto Msimbazi, hasa eneo la jangwani, na kusababisha shida kubwa kwa watumiaji wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.