Bado kuna vyuo vikuu vinasumbua hapa nchini, Nasikia kule Moshi kuna hiki chuo cha Mwenge hakijawapa wanafunzi pesa ya kujikimu leo siku ya kumi. Hii taarifa ni kweli? Kama kuna ukweli ulizeni...
Zanzibar. Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imewafukuza kazi walimu 28 baada ya kugundulika kufanya ubadhirifu wa zaidi ya Sh100.4 milioni.
Akizungumza na waandishi wa habari Ikulu Mjini Zanzibar...
Wanajamvi heshima kwenu, naombeni msaada wa mahali ninapoweza kupata mkopo usiohitaji zamana(security)tafazalini sana maana maji yanazidi unga ndugu zanguni
Ni ajabu Waafrika pia tunalalamika mara Trump yuko sawa, mara sijui tuko hivi, sasa mnamlalamikia nani?
Mimi nafikiri moja kati ya mambo ambayo Mzungu alifanikiwa kwetu ni kutuondolea kujiamini...
Habari za leo wakuu,
Maisha yana changamoto nyingi sana,zingine zinaweza kukutoa kabisa kwenye hari uliyo nayo,au kwenye kitu ambacho ulikuwa umekusudia kukifanya.
Si rahisi sana kumwambia mtu...
Watu wawili akiwemo Mkurugenzi wa Meli ya Lucky Shipping, Issa Haji (39) wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na makosa ya uhujumu uchumi wa kupeperusha...
Habari zenu wakuu.
Leo nimepita kituo cha mabasi cha Mbezi Louis almaarufu Mbezi Mwisho. Kama picha zinavyoonyesha, kati kati ya sehemu ya juu na ile ya chini (zinapopaki gari za Gongo la Mboto)...
1. Ukija kijiweni au pub au kwenye nyama choma acha zile stori za sijui umesoma wapi hadi wapi, sijui una madigirii mangapi. Piga stori nyingine, mbona ziko nyingi tu. Kujielezea sana shule yako...
Abiria wanaotumia barabara kuu itokayo Ruvuma- Masasi kuelekea Mtwara na mikoa ya Lindi na Dar es Salaam hii leo wamejikuta wakinyeshewa na mvua pamoja na kushindwa kuendelea na safari zao...
Habari zenu waungwana,leo nilikuwa nakatiza mitaa ile ya kituo cha polisi urafiki,sasa wakati wa kupita nikaona pikipiki nyingi zimepangwa nje ya kituo,sasa nauliza kwa wenye kujua je pikipiki...
Abiria wanaotumia barabara kuu itokayo Ruvuma- Masasi kuelekea Mtwara na mikoa ya Lindi na Dar es Salaam hii leo wamejikuta wakinyeshewa na mvua pamoja na kushindwa kuendelea na safari zao...
Katika kuimarisha Mahusiano ya kidiplomasia kati ya Nchi yetu ya Tanzania na Nchi ya China, Katibu wa NEC Idara ya Siasa na Uhusiano wa kimataifa wa Chama Cha Mapinduzi (SUKI) Comred Ngemela...
Mtu mzito , Mshana Jr na wengine ,Niko na swali
Ukienda kwa wanganga,ukapata majibu mawili tofauti 1. umerogwa 2.una majini, asilimia ya majibu yao pia iko tofauti, umerogwa 75%
una majini 25%...
Hii halmashauri inaonekana ni mpya sana wanadai inamiaka miwili (2) ila mambo inayoyafanya niabu tupu, nilifika pale kuhitaji huduma kuanzia getini kwa mlinzi mpaka wote wanaishi kama miungu watu...
Wakuu Habari zenu... Katika harakat za Maisha nikajikuta nimeomba chuo marekan na Nikapata... Nimeenda kwenye interview ubaloz wa marekan.. Nikapigwa Maswali mpaka nkachanganyikiwa alafu mwisho WA...
Wanawake wa Tanzania TAFADHALINI...AMKENI na fanyeni kile walichokifanya wenzenu wa Kenya tarehe 13/11/2014...waliwakatalia wapuuzi wachache katika nchi hiyo waliotaka kuwachagulia aina ya nguo za...
UONGOZI wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), umeeleza kuhusu vifo vya watoto njiti vilivyodaiwa kutokea hospitalini hapo mwishoni mwa wiki.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Mkurugenzi Mtendaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.