Kuanzia jana mitandao ya simu kuandika EMERGENCY....

Kuanzia jana mitandao ya simu kuandika EMERGENCY....

pemgtoonet.com

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Posts
879
Reaction score
618
Jana line ya tigo kwangu muda mwingi ilikuwa inaandika emergency muda mwingi. Na jioni wakatuma msg kuomba radhi.
Leo line ya voda ipo emergency muda mwingi,mwenye taarifa atujuze nini kinaendelea. Au ndio kusema wanatest mitambo ili usajili kwa alama za vidole,muda ukiisha waziblock line zetu?
 
Jana tigo nilijua peke yangu kumbe nina wenzangu kibaya zaid sjapata hata sms ya kuombwa radhi
 
Hawataki mpate taarifa za kinachoendelea
 
Ayo Mambo Ya Kawaida Kutokea Katika Nchi Hii Sijaona Cha Ajabu Hapo
 
Ata mimi madam sijaombwa radhi kwa upuuzi walionifanyia bila taarifa.
Nilipata shida sana nilihama hama sehem labda sehem nilipo haina mtandao nikipiga haiti nikituma texts zinarudi data haipandi hakuna e wala h wala 4g na sjaombwa hatabradhi sema nimesamehe tu maisha yanaenda
 
Back
Top Bottom