Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Polisi na wanajeshi ni watumishi kama watumishi wengine. Wakati mwingine wao wanalipwa mishahara mikubwa na marupurupu mengi kuliko watumishi wengine. Swali langu ni kuwa kwanini watu hawa...
14 Reactions
87 Replies
9K Views
Kuna taarifa ya vijana 19 kufa na 17 kujeruhiwa vibaya katika ukumbi flani ambao sijapata jina lake ni katika sherehe za Eid huko Tabora. Kwa kirefu tutawaletea. Mungu azipumzishe roho za...
0 Reactions
107 Replies
15K Views
Wakuu habari za saa hizi Mwenye uelewa wa ofisi yake ilipo inayoshughulika na kuwatafutia watu kazi ughaibun anisaidie tafadhali....
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kilanglani anadaiwa kujichotea mafuta kutoka katika bomba hilo alilolipitisha chini ya ardhi. Dar es Salaam. Jeshi la Polisi limewakamata watu watano, akiwemo mwalimu wa Shule ya Msingi ya...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam, Paul Makonda amewapa muda wa miezi 4 wafanyabiashara wadogo wadogo wa Soko Urafiki linalojulikana kama Mahakama ya Ndizi kuhama katika eneo hilo kutekeleza agizo la...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Mada tajwa hapo denchani inahusika Kuna wakat unaeza kufkir mtu anajina la uani kumbe ndo jina lake la kweli toka amezaliwa, sisemi kina Gudume, Mtanzania kizabizabena n.k ambao wapo humu tuu...
0 Reactions
55 Replies
7K Views
"RAIS MHE MAGUFULI MAKAMO MHE SAMIA SULUHU WAZIRI MKUU MHE KASIM MAJAALIWA MKU WA MKOA MHE POUL MAKONDA WATANZANIA WENZANGU Mim Wastara juma muigizaji wa filamu tanzania naandika ujumbe huu mfupi...
1 Reactions
175 Replies
31K Views
Wakuu naomba bei ya dhahabu.kwa soko la benk.nani benk gani inanunua.?
0 Reactions
1 Replies
638 Views
Wataalamu wanasema mwezi huu ulionekana kwa Mara ya mwisho miaka 68 iliyopita. Supermoon ni neno la kingereza lenye maana ya "Mwezi mzima kuonekana katika hali yake". Mwezi huu utaonekana tena...
1 Reactions
60 Replies
10K Views
Nimesoma tukio la jezi aliyovalishwa kijana mweusi mwenye asili ya Kiafrika huko Ulaya na kutangazwa kibiashara nimesikitika sana. Matukio kama haya bado ni mengi kila mahali. Tunasikia jinsi...
0 Reactions
0 Replies
782 Views
Tuko vijana wawili wote ni waajiriwa wa serikalini na wote tulianza kazi mwaka 2012. Mwaka mmoja baada ya kuanza kazi kila mtu alikuwa na ndoto za maisha yake, mimi nilikuwa ni mwoga wa maisha na...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Habari zenu! Kwa kweli TBA kama chombo kilichoaminiwa na rais kujenga baadhi ya majengo kufikia hatua ya kushindwa kubomoa ghorofa ni udhaifu mkubwa. Mpaka sasa mmeshindwa sababu mnasuasua licha...
0 Reactions
51 Replies
5K Views
Baada ya Mwenyekiti wa Bodi ya Parole nchini, Mh. Agustino Lyatonga Mrema kusema anaenda kufungua kesi ya madai ya mabilioni ya shilingi TCRA kwa watu waliomzushia taarifa za kifo, Mamlaka ya...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Manyara, Agustino Senga akizungumza leo Alhamisi amesema matukio hayo ya vifo yametokea kwenye mazingira tofauti. Simanjiro. Watu wawili wamefariki dunia wilayani...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Ni mabint warembo ,waliniomba niwakopeshe kwa nyakati tofauti wafanye biashara watakua wananipa elf 10 kila wiki, mwaka sasa nazungushwa kesho kesho nyingi ,Kibaya zaidi nikiwa mbali...
5 Reactions
100 Replies
8K Views
Tukiwa porini tunawinda enzi zile tunasoma shule ya msingi na kaka zetu huko kijijini na kaka zetu wakubwa tulikuwa tunaenda kuwinda na mbwa wakati wa likizo au mar nyingi siku za mwisho wa wiki...
1 Reactions
54 Replies
14K Views
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Jumaa Aweso akijaribu kuendesha baiskeli yenye madumu ya maji alipokuwa katika ziara ya kusikiliza kero za huduma ya maji katika Kijiji cha Mwakitolya mkoani...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wakuu nipo safarini naelekea Arusha....kwa speed hii nahisi tutafika Arusha saa 7 mchana........ Najiuliza leo wazee wa tochi wamejisahau au ndio mambo ya mlungula....... NB Nimepanda Dar...
1 Reactions
54 Replies
8K Views
SHIRIKA LA UMEME TANZANIA ( TANESCO) TAARIFA KWA UMMA - WADAIWA SUGU Shirika la Umeme Tanzania ( TANESCO) tunautaarifu Umma na Wateja wetu wote kuwa, tumetoa muda wa siku nne (4) kuanzia Januari...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu kwema? Nakumbuka mukulu alitoa order kuwa kabla mwaka haujaisha waziri awe ameshafanya uchunguzi wake Leo tunaelekea katikati ya mwezi hakuna taarifa yoyote au ndo yaleyale ya same old story?
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Back
Top Bottom