Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari za jioni wanajukwaa, Kwamuda mrefu kidogo sasa kiwanda tanjwa hapo juu kimekua na mtaro unaopitisha maji machafu. Maji hayo yananuka,wito wangu nikwamba mamlaka husika watembelee Tanga...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
My take :Hongera sana rafiki yangu Cyprian Musiba umechukua uamuzi wa busara siku zote lazima usimamie unachokiamini.
18 Reactions
123 Replies
21K Views
Ripoti imesomwa kwa kubainisha kuwa hapakuwa na mauaji wala tuhuma zozote za uchawi bali ni ubinafsi wa watumishi wa chumba cha kuhifadhia maiti pale wanapochukua pesa kwa wafiwa kwa lengo la...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Clouds FM ni radio bora sana ukilinganisha na East Africa radio.Hapa nazungumzia vipindi vya burudani vinavyoanza kuruka kuanzia saa saba mpaka saa kumi. Yaani watangazaji wa planet Bongo wanafiki...
1 Reactions
54 Replies
8K Views
Habari wadau. Leo napenda kuweka wazi hili linalonikwaza kwa huyu mkemia mkuu wa serikali. Ijulikane kwamba kila mwisho wa mwaka mkemia mkuu wa serikali amekuwa akitoa matokeo ya vipimo vya DNA...
1 Reactions
59 Replies
5K Views
Shirikisho la Wafanyakazi Tanzania, (TUCTA), limesema kuwa serikali inapaswa kuwafikiria na kuwaacha kuendelea na utumishi, watumishi wenye elimu ya darasa la saba. Limesema kuwa watumishi hao...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wana JF wote! [emoji1538] Msimu mpya wa elimu umeanza na wanafunzi nao wanaianza safari mpya ya kielimu, miongoni mwao yupo Amidu. Amidu ndio anaanza kidato cha kwanza ila mpaka sasa bado...
0 Reactions
3 Replies
751 Views
Iwe umekutana nao mtaani, usiku,polisi central ama nyumbani kwako tuwekee kisa chako kuhusu usumbufu na majanga ya polisi wetu..... Mwaka juzi wakati wa sikukuu ya mwaka mpya nikiwa natoka...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wanabodi habari. Naandika uzi huu kwa masikitiko makubwa nikiwa stendi kuu ya mabasi ya ubungo iliyopo Jijini Dar es Salaam. Binafsi kilichotekea ni kitu cha kuhuzunisha japo kinachekesha...
25 Reactions
174 Replies
15K Views
Buchosa. Walimu saba wanaofundisha Shule ya Msingi Soswa wilayani Sengerema wamejikuta wamelala nje pamoja na familia zao huku wawili kati yao wakiwa wamenyolewa nywele kichwani na sehemu za siri...
3 Reactions
94 Replies
16K Views
Niwasii ndugu zangu tutakuwa hatujatumia akili kwa kiwango cha PhD eti mtu amejiuzulu Ubunge halafu arudi pale tumchague au agombee sehemu nyingine tumchague kama angekua na umuhimu wa kuendelea...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Basi la kampuni ya SARATOGA Kigoma Mwanza lapata ajali maeneo ya Nyantakala Nyakanazi na kujeruhi watu 27. Ni wakati sasa wa kuwaombea majeruhi wapate kupona na kuwaombea safari salama wasafiri wote.
1 Reactions
9 Replies
7K Views
Lazima kila binadamu anaamini uwepo wa Mungu haijalishi Dini wala nini ila kuna jambo labda unahisi ni la kipekee linatokea hapa Duniani au limewahi kutokea hata kwako wewe mwenyewe mpaka...
47 Reactions
2K Replies
117K Views
Je, benki uliyoweka fedha yako ikifilisika, unajua haki yako na usalama wa fedha yako? Tujadili.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
KENYA: Mtoto mmoja mwenye umri wa miaka 11 ameamua kujiua baada ya ombi lake la kuhamishwa shule kukataliwa huko nchini Kenya. Taarifa zinasema kuwa mtoto huyo kutoka kijiji cha Ongata Rongai...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
*WAJIBU WA DEREVA KWA ABIRIA WAKE* *Je, ni upi wajibu wa dereva kwa abiria* au kwa lugha nyingine dereva ana wajibu kwa watu wa ngapi? Labda tuanza na swali hili. *Watu ambao dereva anawajibika...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nilikuwa nahitaji kuonana na Makamu mkuu wa Chuo. Baada ya kuonana na Secretary wake utaratibu ukawa hivi. Secretary anaingia kwa makamu mkuu wa chuo halafu anarudi na kuniuliza "anasema...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
*WAJIBU WA DEREVA KWA ABIRIA WAKE* *Je, ni upi wajibu wa dereva kwa abiria* au kwa lugha nyingine dereva ana wajibu kwa watu wa ngapi? Labda tuanza na swali hili. *Watu ambao dereva anawajibika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habarini, Tabia ya TRA kujumlisha kodi ya 10% kaajili ya kodi ya pango la biashara kwa mfanyabiashara wakati makadilio ya kodi ni uonevu kwakweli. Wanakwambia leta mkataba wa pango la biashara...
0 Reactions
2 Replies
831 Views
Pamoja kuwa stand hiyo ni kubwa na muhimu kwani inahudumia abiria wengi sana standi haina hadhi kabisa kwanza mazingira ni machafu sana inanuka mikojo inaonekana watu wanajisaidia haja ndogo hapo...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…