TRA kodi ya 10% ya pango la biashara ni wizi

nyundo2017

JF-Expert Member
Sep 7, 2017
1,439
859
Habarini,
Tabia ya TRA kujumlisha kodi ya 10% kaajili ya kodi ya pango la biashara kwa mfanyabiashara wakati makadilio ya kodi ni uonevu kwakweli.

Wanakwambia leta mkataba wa pango la biashara wkt huo umeshamlipa mwenye nyumba lakini wanakwambia ukamkate mwenyenyumba.

Kama kwa sasa kila mwenyenyumba analipia kodi moja kwa moja TRA kwani asitafutwe na kukabwa mwenye nyumba kuliko kumkaba mfanyabiashara ndiye alipie hiyo kodi?

Hili fikiriwe upya kwani wenyenyumba kwa asilimia kubwa wanagoma
 
Duu yaani ukatwe wewe kwa deni la mtu mwingine.
Hii haijakaa sawa kwa kweli utafikiri sio serikali
 
Back
Top Bottom