Ripoti ya maiti 10 za vichanga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ripoti ya maiti 10 za vichanga

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Paul S.S, Feb 11, 2011.

 1. P

  Paul S.S Verified User

  #1
  Feb 11, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Ripoti imesomwa kwa kubainisha kuwa hapakuwa na mauaji wala tuhuma zozote za uchawi bali ni ubinafsi wa watumishi wa chumba cha kuhifadhia maiti pale wanapochukua pesa kwa wafiwa kwa lengo la kwenda kuwazika, lakini sasa wao kurahisisha kazi wanachimba shimo moja na kuwafukia.
  vichanga hao hufariki wakati wa kujifungua au kabla au baada tu ya kujifungua.
   
 2. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #2
  Feb 11, 2011
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Swali nalojiuliza ni kwamba hao watoto walikufa katika kipindi cha wiki moja wengi hivyo, ukienda hospitali nyingine za Dar utapata wangapi? Mi nadhani tatizo la vifo vya watoto wachanga pengine ni kubwa kuliko takwimu zinavyotuambia
   
 3. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #3
  Feb 11, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,584
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Umeipata sawasawa mkuu. Issue kubwa ni kwa nini kuna vifo vingi vya watoto - karne ya 21.
   
 4. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #4
  Feb 11, 2011
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  I hope kuna mwandishi wa habari anayeweza kutumia idadi hiyo ya mwananyamala kwa wiki moja kufanya extrapolation na kutoa story tofauti na hizi za kawaida - "akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake..."
   
 5. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #5
  Feb 12, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Hili ni tatizo la kuweka watumishi wasiokuwa na ethics.
  Kwa sasa kumekuwa na wimbi la watu mbalimbali kukimbilia sekta ambazo si chaguo lao ili wajikimu kimaisha.
   
 6. Nanren

  Nanren JF-Expert Member

  #6
  Feb 12, 2011
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 1,739
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Infant mortality rate ni kati ya vigezo vya maendeleo. Nchi ambayo wananchi wana lishe mbovu, idadi ya madaktari ndogo, vituo vya afya havitoshelezi kwa idadi au ubora na umasikini kwa ujumla, what do you expect? Lazima mortality rate iwe kubwa. Kuna mimba zinatoka kwa bahati mbaya kwenye nchi masikini lakini mimba hizo zisingetoka kwenye nchi tajiri. Sasa hata hospitali kubwa kama ya mwananyamala inaonekana haina sehemu au namna nzuri ya dispose vitoto vilivyokufa....
  Tupiganie tupate utawala mzuri utakoondoa umasikini na kuleta utendaji mzuri kazini...
   
 7. muhosni

  muhosni JF-Expert Member

  #7
  Feb 12, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,114
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kuna jambo linanitatiza kidogo. Tunaambiwa materna mortality ratio umeshuka kutoka 578 hadi 400. Lakini Hali ya huduma imezidi kudorora. Hebu nisaidieni jamani huko kushuka kwa maternal mortality kumesababishwa na nini
   
 8. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #8
  Feb 12, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  mikakati thabiti ya serikali na wadau!
   
 9. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #9
  Feb 12, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Maisha magumu yanaweza kuchangia mimba kuharibika,pili huduma mbovu mahospitalini unakuta wanajua kabisa mama anatatizo la high blood presure na hawampi huduma sahihi na uangalizi ili mtoto awe salama,tatu uzembe wa madaktari na manurse,matatizo mengine yanazuka muda wa kujifungua ukimtafuta dokta yupo kwenye kazi zake binafsi eg ameajiriwa muhimbili bt ana dispensary mwenge,yote haya ni matokeo ya serikali mbovu wa2 wanakosa hata ubinadamu kama hao wa chumba cha maiti kisa hela coz anaihtaji akamlipie mtoto wake shule,tunahitaji mabadiliko,
   
 10. M

  MWENDAKULIMA JF-Expert Member

  #10
  Feb 12, 2011
  Joined: Jul 17, 2009
  Messages: 961
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Mkuu paulss hii ndiyo report iliyoandikwa na ile tume iliyoundwa? kable ya kufungua nilikuwa nimejiandaa kusoma pages kama 100 hv na zaidi. Anyway nimepata mwanga kidogo. Thanks
   
 11. L

  Laura Mkaju Senior Member

  #11
  Feb 12, 2011
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamani, serikali ya awamu hii naona imeamua kuja na sera ambazo naona ni kinyume kabisa, kila siku tunaambiwa kwenye ripoti wamepunguza vifo vya wajawazito. SWALI LANGU NI HILI??? NDIO WAMEAMUA KUJA NA MKAKATI WA KUONGEZA VIFO VYA VICHANGA VYETU???
   
 12. Mawenzi

  Mawenzi JF-Expert Member

  #12
  Feb 12, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mojawapo ya mambo yanayoshusha ethics ni mishahara isyokidhi haja.
   
 13. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #13
  Feb 12, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280

  " tatizo la vifo vya watoto wachanga" tatizo ni kubwa kuliko usivyotaka kukubali.
   
 14. Avatar

  Avatar JF Gold Member

  #14
  Feb 12, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 676
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 35
  .....Kuna mzazi mmoja alisika redioni akidai ya kwamba aliomba kwenda kumzika mtoto wake lakini alikatazwa!..... Baadhi ya wanawake walidai ya kwamba huwa wanashawishiwa na wahudumu wa hospitality kuacha maiti za watoto wao waliofariki....
  Sasa hapo mi siuelewi ubinafsi wahudumu wa hospitali uko wapi!? Faida gani walokua wanaipata.... Lazima kuna linaloendelea nyuma ya pazia!....
   
 15. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #15
  Feb 12, 2011
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Kwa kweli hiyo hadith ya manesi kuomba vichanga vilivyokufa limezagaa sana DSM sijui mikoa mingine. Natamani kujua wanazifanyia nini
   
 16. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #16
  Feb 12, 2011
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Mkuu nadhani hujajibu swali, muhosni anataka kujua uhusiano wa huduma zilizodorora nchi nzima na kushuka kwa vifo vya wanawake wajawazito
   
 17. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #17
  Feb 12, 2011
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,927
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  Hivi inakuwaje watu hawataki kuzika maiti za vichanga vyao mpaka wanafikia kumpa mtu wasiyemjua kazi hiyo? NaonHili sakata ni dalili ya matatizo mengi sana kwenye jamii yetu/taifa letu.
   
 18. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #18
  Feb 13, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  We have a long way to go!Sijui lini tutafika huko kunakoitwa maendeleo!Mungu avipumzishe salama!
   
 19. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #19
  Feb 13, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Uchakachuaji wa namba tu!Vipi watawacomvince wafadhili waendelee kutusaidia tupunguze vifo vya wamama na watoto bila maendeleo ya kuridhisha!
   
 20. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #20
  Feb 13, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  nasikia wanauza kwa waganga wa kienyeji.
   
Loading...