Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 10,488
- 20,041
Habari wana JF wote! [emoji1538]
Msimu mpya wa elimu umeanza na wanafunzi nao wanaianza safari mpya ya kielimu, miongoni mwao yupo Amidu. Amidu ndio anaanza kidato cha kwanza ila mpaka sasa bado hajaripoti shule kutokana na kuwa njia psnda hasa juu ya malengo yake ya kimaisha, kulingana na hayo Amidu anatafuta ushauri kutoka kwa kaka na dada zake mliohitimu vyuo na vyuo vikuu hivi karibuni.
Malengo ya Amidu ni kuja kuwa na maisha bora kwa kuwa miongoni mwa matajiri wakubwa Tanzania, Amidu anasema kuwa anapendelea akiwa mkubwa kama mjomba wake Ally anataka awe na familia yake nyumba, biashara na pia ajikite kwenye siasa kwani anampenda sana mwanasiasa Lowasa ambaye pia Amidu anatamani kuwa tajiri kama yeye. Ally ambaye ni mjomba wa Amidu ni miongoni mwa vijana wahitimu wa vyuo mwenye umri wa miaka 28 anayeishi kwa dada yake ambaye pia ni mama wa Amidu.
Kwa simulizi hii fupi ya Amidu na hali halisi ya kimaisha unaweza kumshauri kitu gani Amidu ili azifikie ndoto zake hizo.