Kiwanda cha maziwa Tanga freshi kichukuliwe hatua

Mkumbwa Jr

JF-Expert Member
Mar 23, 2016
2,370
3,148
Habari za jioni wanajukwaa,

Kwamuda mrefu kidogo sasa kiwanda tanjwa hapo juu kimekua na mtaro unaopitisha maji machafu.
Maji hayo yananuka,wito wangu nikwamba mamlaka husika watembelee Tanga fresh ili mchukue faini.
 
Nakumbuka kuna kipindi waliwahi kupewa onyo na NEMC juu ya huo mtaro wa maji machafu. Kama hawajaboresha mpaka leo ni vizuri wakasitisha uzalishaji kuliko kukera watu.
 
Aisee pananuka hatari..yaani ukipita huku barabarani lazima ujiulize maana ile harufu haivumiliki!
 
Nakumbuka kuna kipindi waliwahi kupewa onyo na NEMC juu ya huo mtaro wa maji machafu. Kama hawajaboresha mpaka leo ni vizuri wakasitisha uzalishaji kuliko kukera watu.

Yaani pananuka nizaidi ya choo,hali hiyo sio yakawaida mkuu.
Haipendezi kama bidhaa zao zilivyo tamu ndio wanafuga uvundo ule, aisee kwakweli wafungiwe
 
Barabara ile ile NEMC wanapita wakiwa kwenye utekelezaji wa shughuli zao ila ule 'uvundo' hawausikii, kweli pesa inaweza kufanya harufu mbaya inukie..
 
Hata maziwa yao yananuka harufu mbaya kama maziwa yanayokamuliwa na wamasai kiwanda kitakuwa na matatizo
 
Habari za jioni wanajukwaa,

Kwamuda mrefu kidogo sasa kiwanda tanjwa hapo juu kimekua na mtaro unaopitisha maji machafu.
Maji hayo yananuka,wito wangu nikwamba mamlaka husika watembelee Tanga fresh ili mchukue faini.
Sio hapo tu pananuka hata pale jirani na ofisi ya RATCO bus,jirani na kanisa la TAG,barabara iendayo Malindi hotel kuna chemba ina mwaga maji taka barabarani zaidi ya miezi sita,maji yananuka sana na yanakerabwatembeao kwa miguu,bodaboda nk
Nashangaa mamlaka husika sijui zipo wapi?
Trump akituita majina yake halafu tunakasirika.
 
Hata maziwa yao yananuka harufu mbaya kama maziwa yanayokamuliwa na wamasai kiwanda kitakuwa na matatizo
Tanga frsh ndiyo maziwa bora...
Hivi ungekunywa maziwa toka Kwa wamangati ungeweza kweli.....Yanaharufu ila ni bora

Mrangi from gairo

Ova
 
Tumieni akili Mimi nakunywa maziwa ya mgando ya tanga FSH kila siku nayajua vizuri ubora wake mdomoni yana badilika badilika ayako standard siku nyingine mazuri sikunyingine mabaya yananuka hovyo kabisa hata hapa ninato kwenye kikombe sio nyinyi mnakunywa Mara moja kwa week kisha una kuwa wabishi maziwa ya tanga f ni vigumu kuwa na kiwango bora Kwa sababu wanayanunua Kwa hao unaowasema pasi na kufuatilia na kutoa elimu ya ukamuaji msafi wa maziwa yananuka vibaya
 
Mie sijawahi kunywa yanayonuka kwa kweli..

Angalia expire date,pengine unauziwa famba..
 
Back
Top Bottom