Kurunzi
Platinum Member
- Jul 31, 2009
- 10,196
- 11,625
Pamoja kuwa stand hiyo ni kubwa na muhimu kwani inahudumia abiria wengi sana standi haina hadhi kabisa kwanza mazingira ni machafu sana inanuka mikojo inaonekana watu wanajisaidia haja ndogo hapo hasa mida ya usiku, watu wanatupa taka hovyo na wafanyabiashara wamekaa karibu kabisa na mabasi yanapo simama tena wamebanana na wanauza vyakula karibu kabisa na mabasi yanaposimama sijui afya ya walaji ikoje hapo.
Barabara ya kuingilia stand hasa ile inayopita uchochoroni kwenye makazi ya watu ni mbaya sana ina mashimo na kama masika ikianza mwezi wa nne hali ikiwa hivyo basi hali itakuwa mbaya zaidi.
Sijui mamlaka ziko wapi angalia maeneo yanauoizunguka Nyuki yote ni machafu.
Leo nimepita hapo kwenye mataa ya makutano ya barabara ya wazo katikakati ya bustani yenye barabara mbili ni machafu paka aibu kuna matofali yamepangwa hapo sijui yametoka wapi sijui kunamtu alitaka kujenga kwenye bustani ama vipi na yapo hapo hii wiki ya tatu nayaona.
Chukueni hatua mamlaka husika.