barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,323
- 29,586
Habari zenu!
Kwa kweli TBA kama chombo kilichoaminiwa na rais kujenga baadhi ya majengo kufikia hatua ya kushindwa kubomoa ghorofa ni udhaifu mkubwa.
Mpaka sasa mmeshindwa sababu mnasuasua licha ya kwamba mko on site. Naongelea jengo la Tanesco Dar es salaam.
Tunakoelekea, mijengo ya zamani mirefu mingi itabomomewa, iliyegemewa nyie ndio mngeshika usukani ktk hili. Inavyoonyesha jengo la Tanesco linawatoa jasho.
Kupitia jengo hili, jifunzeni mbinu wanazotumia wenzenu wa nchi za nje jinsi ya kubomoa majengo kwa ufanisi na muda mfupi.
Kama unajenga basi uwe na uwezo wa kubomoa pia, ndani ya muda sahihi.