Leo hakuna tochi njia ya Moshi Arusha!!??

Leo hakuna tochi njia ya Moshi Arusha!!??

KikulachoChako

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2013
Posts
19,898
Reaction score
40,098
Habari wakuu nipo safarini naelekea Arusha....kwa speed hii nahisi tutafika Arusha saa 7 mchana........

Najiuliza leo wazee wa tochi wamejisahau au ndio mambo ya mlungula.......

NB
Nimepanda Dar express ya Nairobi.....

ab227a95c3c02fc52228106cbb9fd85f.jpg
 
Kwamba wanamwaga moto sana au.

NB: kama wanamwaga moto sana ndani ya gari kuna namba za sumatra piga ni bure washtaki. Mwendokasi unaua, chukua tahadhari
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Mwambie dereva wamevaa mikoti yao na mianvuli, bili za fine zinatumwa ofisi za dar express
 
Mwendo kasi wa kilo mita 120 kwa saa kwa basi ni sawa na gari dogo 140 sawa kinacho leta taabu ni ubovu wa barabara magari na uzembe wa madereva.
Dreva aliye makini kuangalua mapungufu hamna taabu.
Wazembe wanapinduka na materekita na puna na guta
 
Back
Top Bottom