Hivi suala la Airtel limefikia wapi

Hivi suala la Airtel limefikia wapi

mtzmweusi

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
8,700
Reaction score
9,071
Wakuu kwema?

Nakumbuka mukulu alitoa order kuwa kabla mwaka haujaisha waziri awe ameshafanya uchunguzi wake Leo tunaelekea katikati ya mwezi hakuna taarifa yoyote au ndo yaleyale ya same old story?
 
Nafikiri limekwamia lilipokwamia lile la Omba Omba wa Dar...I sit to be corrected as I am too old to stand.
 
Kabla mwaka haujaisha? Huu ni mwez wa kwanza. Bado miezi 11 calm down.

Haya mambo ni ndugu yake makinikia.
Yaache yalivyo
 
Nina allergy na maswali yanayoanza na neno "hivi..".
 
We bwana mdogo, kuna mambo mengine hayagusiki. Mdomo wa Magu uliteleza tu siku ile.

Kuna watu alishasema waachwe wapumzike na atawalinda kwenye utawala wake, na ndio baadhi yao wanahusika, so shut up!!
 
Wakuu kwema?

Nakumbuka mukulu alitoa order kuwa kabla mwaka haujaisha waziri awe ameshafanya uchunguzi wake Leo tunaelekea katikati ya mwezi hakuna taarifa yoyote au ndo yaleyale ya same old story?
Kama Uliweza kuamini kua Mabehewa yalikosa mwenyewe pale bandarini lakini mwishowe yakanunuliwa kutoka kwa huyo Mwenyewe asiekuwepo basi amini tu na hili litaisha vizuri tu Mkuu
 
Wakuu kwema?

Nakumbuka mukulu alitoa order kuwa kabla mwaka haujaisha waziri awe ameshafanya uchunguzi wake Leo tunaelekea katikati ya mwezi hakuna taarifa yoyote au ndo yaleyale ya same old story?
Hii ilikuwa kutafuta kiki kwa style ya makinikia hakuna lolote na hutasikia tena kinachoendelea! unachotakiwa ni kuulizia Noah yako ilipo
 
Acha uchochezi tunakuangalia mara unaulizia makinikia mara bombadia Acha uchochezi teh teh awamu ya tano
 
Aliyekuwa anatafutwa,kashajipeleka Ikulu na amemsifia baba mwenye nyumba,kesi imekwisha...Ameshasalimu amri,kawaombea msamaha mkwe na rafiki yake Kitilya,sasa deal is closed
 
Mleta mada uache uchochezi mbona hujauliza issue za hela za makenikia, au Bombadier zetu ,unauliza kampuni ya simu
Subiri taarifa zinakuja taratibu kuongoza nchi siyo sawa na kuongoza kampuni
 
Aliyekuwa anatafutwa,kashajipeleka Ikulu na amemsifia baba mwenye nyumba,kesi imekwisha...Ameshasalimu amri,kawaombea msamaha mkwe na rafiki yake Kitilya,sasa deal is closed
asante you nailed it
 
Wakuu kwema?

Nakumbuka mukulu alitoa order kuwa kabla mwaka haujaisha waziri awe ameshafanya uchunguzi wake Leo tunaelekea katikati ya mwezi hakuna taarifa yoyote au ndo yaleyale ya same old story?
Wanaendelea na upe-mbuzi yakinifu
 
aliyetoa tamko alikuwa anakunwa kunwa .mkuu
usitarajie kuona kitu kama hcho kikijiri

ACACIA wamewatoa kamasi .. Bombadier mpaka leo IPO Canada inazidi kupigwa baridi tu

huyo mzee nimuuza chai mzuri tu ukiwa mtu wakumsikiliza tarajia kuwa na matege ya ubongo
 
Back
Top Bottom