Je, kuna athari gani kununua laini za uwakala wa tigo pesa na m pesa mkononi?

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
3,243
4,379
Habari wadau?

Nahitaji msaada mkubwa sana juu ya suala hili la laini za uwakala.

Nilijaribu kuuliza maswali kama mawili miezi ya nyuma kuhusiana na ujasiliamali but i gatta nothing.

1. Okay, nisipoteze muda naomba kujua athari za kununua laini ya uwakala mkononi.

2. Je kutengeneza laini mpya inakuwa bei gani and what about cost za utengenezaji?

3. Ni asilimia ngapi wakala anapata pindi mteja akitoa pesa?
___________________________________

SHUKRANI KWENU
______________
 
Nakushauri usinunue kitaa. Hakuna lain inayotengenezwa bila tin na lesen. Kinachofanyika no mtengenezaji wa lain kukupa wewe wakati vielelezo ni vya mwngine. Mwenye navyo atapogundua ataizima na kuswap na huwezi kuhoji. Tumia vielelezo vyako hutabughudhiwa na mtu. Kuhusu faida tembelea maduka yao wakupe viwango vya kamisheni
 
Kuna faida kubwa zaid ya hasara kama hutanunua mtaani... Mtaani lazma uwe unajuana na aliekuuzia kwa mapana sana,yaan mnajuana vizur.

Moja wapo ya hasara ni pale bahat mbaya unaipoteza kuirudisha huwez mpka aliekuuzia akairudishe yy

Pili kwa lain kama voda unakua na lain kuu yaan hii ndio inaweza kutoa hela au kupokea hela kwenye lain zake (branch) zake bila kipingamiz,,

Sasa ukikuta mtu kakupa lain zake za voda bila ile ya head office anauwezo wa kusomba hela yako bila kipingamizi..

Tigo na airtel sio mbaya ukinunua ila ikipotea utajuta..

Mwsho lain zote ni bure ukiwa na docoment zote zinazotakiwa... Tchao
 
Laini ukinunua kwa mtu mtaani unaweza kuta laini inadaiwa iliwahi kupokea hela ambayo si yake akaitoa haraka na ilikuwa nyingi sasa wewe siku ukiweka tu hela inachukuliwa yote, ikipotea lazima uwe na viambatanisho vyote vinavyosomeka kwenye hizo lain zako, siku hizi mpesa wanatoa laini moja tu na siyo mbili mkuu mmoja alivyosema, laini zote zinatolewa bure unatakiwa kwenda kwa wakala mkuu tu, nenda kwa wakala yeyote aliyekaribu nawe akupeleke kwa wakala wake mkuu asipokuwa na wivu atakupeleka
 
Back
Top Bottom