Wanawake wavae majuba na wanaume kanzu

Wanawake wavae majuba na wanaume kanzu

desertfox

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2014
Posts
347
Reaction score
244
Kutokana na hali inayo endelea hapa Dar es Salaam ya watu kukamatwa kutokana na mavazi walio vaa napendekeza yafuatayo.

>Serikali itoe mwongozo wa mavazi yanayopaswa kuvaliwa na raia ili kuepuka usumbufu wa kukamatwa bila kujua.

>Kutokana na kuibuka kwa mavazi ya aina tofauti wanaume wavae kanzu na wanawake majuba hii itaondoa mkanganyiko.

>Rais (kwakutumia presidensial decree) atangaze rasmi tuvaeje na tunyoeje kwamaana wengine hatuna mwongozo mnyoo upi ni halali kisheria au si wa kihuni upi ni uhuni.

> Turudie nguo za asili mashuka misumbiji na kaniki.

Kadhia ya kukamatwa bila kujua inafanya tushindwe ata kwenda kazini kwa amani.
 
Mambo ya kuvaa ngu ni mambo yaloletwa na wakoloni, africa asili yetu ni kutembea uchi, kama lengo ni kutunza utamaduni wetu tuachane na manguo ya kizungu tuvae ngozi zetu.

Harusi yangu ilikuwa ya kimila, hakuna mambo ya manguo ya kikoloni.
hqdefault.jpg
 
Na wewe ndio wale waenyeshao chupi kwani
 
Mwanume inatakiwa unyoe dongo
 
Mambo ya kuvaa ngu ni mambo yaloletwa na wakoloni, africa asili yetu ni kutembea uchi, kama lengo ni kutunza utamaduni wetu tuachane na manguo ya kizungu tuvae ngozi zetu.

Harusi yangu ilikuwa ya kimila, hakuna mambo ya manguo ya kikoloni.
hqdefault.jpg
Mbavu zangu r u serious tutembee uchi[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Kipengele cha pili hapo kuhusu serikali itoe mwongozo wa mavazi ......wenyewe wamesema tusivae milege wala vimini ila vingine vaa ......HUU UPUUZI WAPELEKE HUKO VIJIJINI WALIPOPEWA KURA SIO MJINI
 
Back
Top Bottom