SPINE
JF-Expert Member
- Dec 11, 2017
- 1,070
- 1,156
Habari waungwana,
Jamiiforums ina kila aina ya wachangia mada, wapo wanaopinga mada husika pia wapo wanaunga mkono mada maana imewafurahisha au kuwaelimisha. Kitu cha pekee ni uchangiaji wa mada bila kujua jinsia, umri au kazi ya mtoa mada au mchangia mada mwenzako (labda awe amejitambulisha mwenyewe).
Kwa misingi hiyo ukiwa JF unaweza kumkejeli mmeo/ mkeo/ mtoto wako/ jirani/ bosi nk bila kujijua kama unafanya kosa hilo, hata watoto pia wanaweza kukejeli/ kutukana wakubwa wao achilia mbali wazazi wao kwa kuwaita majina kama vile " dogo, bwege, mngese n.k"
Wito wangu wanajamiiforums tuweke nidhamu na heshima kwa kila mchangia mada ili tuweze kuishi vyema kwenye kijiji hiki chenye kila hitaji lako kwa maisha ya kila siku.