Serikali iangalie upya bei ya mafuta wananchi tunaumizwa

mtanganyika mpya

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
424
302
Hili suala mafuta ya petrol na diesel kuendelea kupanda bei wakati katika soko la dunia mafuta bei imeshuka nashindwa kuelewa nafasi ya EWURA katika hii biashara naoana kama wanaongeza bei kuwaufaisha wafanya biashara wakati watumiaji tunazidi kuumia.
 
Acha kulia lia, fanya kazi, lita ya beer ni ghali sana kuliko lita ya petrol na bado unanunua
 
Back
Top Bottom