Nahisi nina dhambi moja tu, kwa jinsi nilivyo busy sipati muda wa kutenda dhambi nyingine kwahiyo nina uhakika wa pepo

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
10,087
15,958
Nmejitathmini maisha yangu na jinsi nilivyo busy kutafuta ugali nimegundua dhambi niliyonayo ni 1 tu ya uzinifu ila zingine sina kabisa.

Nashauri na nyie wakuu mjitathmini, kuna uwezekano wanaoenda peponi ni wengi sana kuliko tunavyotishwa makanisani
 
Kuna amri kumi ambazo mwanadam atanakiwa azifuate ukikosea moja umekoza zote, utahukuwi kwa hiyo hiyo moja kwa Mungu hakuna upendeleo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom