Bwawa la Stiegler likijengwa, basi Rais wetu aendelee kama bonus!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Kama Rais wetu pamoja na Serikali yake wakifanikisha kutuingizia zaidi ya 2000 MW za Umeme kwenye Gridi yetu ya Taifa, basi kama wakipenda na kukubali kuendelea kuongoza baada ya 2025 na iwe hivyo, lkn kama wakipenda wenyewe kwani hiyo siyo kazi ya kitoto kwa nchi ya Kiafrika, Ethiopia wameweza lkn kwa ungangari haswa, hivyo kwangu mimi hiyo ni litmus test , kama kweli tukijenga na kuzalisha umeme wa MW 2000 basi najua tumeshatoka na tutaitafuta double digit economic growth.
 
Fwala kweli wewe.Kukamilisha wajibu wake ndo umpe mtu miaka mingine ya kuangamiza na kutesa Watanzania.
 
Kama Raisi wetu pamoja na Serikali yake wakifanikisha kutuingizia zaidi ya 2000 MW za Umeme kwenye Gridi yetu ya Taifa, basi kama wakipenda na kukubali kuendelea kuongoza baada ya 2025 na iwe hivyo, lkn kama wakipenda wenyewe kwani hiyo siyo kazi ya kitoto kwa nchi ya Kiafrika, Ethiopia wameweza lkn kwa ungangari haswa, hivyo kwangu mimi hiyo ni litmus test , kama kweli tukijenga na kuzalisha umeme wa MW 2000 basi najua tumeshatoka na tutaitafuta double digit economic growth, ...
Mwenyewe alishatamka kuwa 'Anajuta'
Sasa mimi najiuliza nyie wengine sijui mnawashwa wapi?
 
Kama Serikali hii ikifanikiwa kutuingiza 2000 MW za Umeme kwenye gridi ya Taifa basi wanastahili kuongezewa muda kama wakipenda kufanya hivyo!

Huwa icho chama cha mashetani kimekulisha nini Barbarosa?Huo ni wajibu wao na hawastahili kuongezewa hata one second,kwani walihaidi nini kipindi cha kupiga push ups majukwaani.
 
Mkuu hakuna haja ya kumwongezea mtu muda wa kutwawala isipokuwa anatakiwa aandaliwe mtu anayeweza kusimamia maendeleo yaliyopatikana ili tuweze kusonga mbele. Hebu fikiria ikiwa Nyerere angebaki madarakani hadi akafariki nchi ingekuwa katika taharuki gani?

Suala la umeme wa Stiegler 2000MW hilo tayari ni suala la kusubiri kuanza kazi tu. Magufuli akishasema Pesa Ipo anamaanisha.
 
Hivi umeme wa Gesi uko wapi , maana tuliaminishwa na serikali hii hii kua mgao utakuwa historia.?
 
mpende msipende MAGUFULI NI BORA SANA KULIKO MARAISI WOTE BAADA NYERERE.JK sijui alikuwa anafanya nini na kwa aibu hii angejificha tu! Ni Aibu tupu!!!
 
Mbona Gas ya Mtwara tuliaidiwa maziwa na asali kiko wapi mpk leo
 
Back
Top Bottom