Vituko na Matukio yanayofanyika Mikoani

Vituko na Matukio yanayofanyika Mikoani

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,200
Wao wameanzisha Uzi wao ukielezea Vituko vya mwananyamala Mwisho wa siku wamemalizia na Dar nzima kwa ujumla.

Na sisi wa mikoani Tulete vituko na matukio yetu ya Huko,
Kama,ubabe ,Wizi,Utapeli,Uchawi na kila tukio linalofanyika mikoani bila kusahau eneo la tukio,

Kuna Vituko na matukio mengi sana huko mikoani na sisi tuelezee hapa kwenye uzi .!
 
Huko kuna nabii anahamasisha uzinzi na ulevi na watu wa mikoani wanamsikiliza kwa utulivu utadhani anahubiri mambo ya maana
 
Daaa hakuna jipya, sijawah ona jiji lolote Duniani et gari la majitaka ndo safi na jipya na lile la maji safi ndo chakavu na chafu
 
Back
Top Bottom