Binadamu unaishije bila kujifanyia tathmini?

Binadamu unaishije bila kujifanyia tathmini?

No Escape

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2016
Posts
6,663
Reaction score
7,830
Hatari kama tangu umezaliwa hujawahi kujifanyia tathmini wewe mwenyewe kusubiri mpaka watu waone mapungufu yako wakwambie ndio ubadirike huu ni uvivu wa kufikiri kiwango cha lami.We ukiamka ni kula kufanya kazi kulala tuu hujui hayo yote unayofanya yana tija gani katika maisha yako ya sasa na baadae,kwa nini usikae chini japo hata mara moja kwa mwaka ukajiuliza mwaka huu nimefanya lipi la maana nimefeli wapi niache lipi nifanye hili sasa basi! lazima kuna mambo unayafanya miaka nenda rudi lakini hayana tija yeyote katika maisha yako zaidi ya kukuongezea stress,mengine mpaka yanahatarisha maisha yako lakini bado unayang'ang'ania tuu hivi hujajua bado kama kuna binaadamu wapo hapa duniani kuhakikisha wewe hauendi mbele? haijalishi una uhusiano nae gani kwa taarifa yako huyo ndio Adui yako namba moja kaa nae mbali tena ikiwezekana mweleze kabisa akae mbali na wewe kwanza ufanye yako ukishakamilisha utamtafuta.Unang'ang'ania vipi kukaa na mtu miaka nenda rudi hakuna la maana eti mnaitana bebi tuu.
Kila mtu apambane na hali yake usitingishe ya mwenzio.....Asbh njema。
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom