Ni nani aliyegundua miaka!!? Swali tata sana.

Ni nani aliyegundua miaka!!? Swali tata sana.

Secret Star

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2011
Posts
1,869
Reaction score
2,119
Habari ndugu, Kheri ya Mwaka mpya, Nilikuwa na ndugu zangu hapa tunarukaruka na kusherekea kuhusu mwaka huu mpya, ila ghafla nikajiwa na wazo kichwani ambalo kiuhalisia limeanza kuniumiza.

Je Mtu aliyegundua miaka aliigundua kipindi gani?
Aliigunduaje?
Aliwezaje kujua kuwa Dunia huzungungukaa Jua kwa SIKU 365!? ili hali hakuwa na chombo chochote cha kumpandisha kwenye anga za juu zaidi kulitambua hilo?
Naombeni majibu ya swali langu nami nipate faraja rohoni mwaka mpya huu.
 
Mungu alipoumba ulimwengu aliumba na muda (nyakati). Hii ina maana aliumba mwaka, mwezi, siku, saa, dakika, sekunde n.k

Ukisoma kitabu cha mwanzo utaelewa.. Mungu akasema na uwe mchana, ikawa, tena akasema na iwe usiku, ikawa....

Mwanzo 8:22;
Muda nchi idumupo, majira ya kupanda, na mavuno, wakati wa baridi, na wakati wa hari, wakati wa kaskazi na wakati wa kusi, mchana na usiku, havitakoma.
 
He! kumbe aliyaweka Mungu!
 
Habari ndugu, Kheri ya Mwaka mpya, Nilikuwa na ndugu zangu hapa tunarukaruka na kusherekea kuhusu mwaka huu mpya, ila ghalfa nikajiwa na wazo kichwani ambalo kihalisia limeanza kuniumiza.

Ni je Mtu aliyegundua miaka aliigundua mwaka gani?
Aliingunduaje?
Aliwezaje kujua kuwa Dunia huzungungukaa Jua kwa SIKU 365!? ili hali hakuwa na chombo chochote cha kumpandisha kwenye anga za juu zaidi kulitambua hilo?
Naombeni majibu ya swali langu nami nipate faraja rohoni mwaka mpya huu.
Mkuu ulipita pita primary sec flani?
 
Hili swali mbona sio tata?
A calendar is a system of organizing days for social, religious, commercial or administrative purposes. This is done by giving names to periods of time , typically days , weeks , months and years . A date is the designation of a single, specific day within such a system. A calendar is also a physical record (often paper) of such a system. A calendar can also mean a list of planned events, such as a court calendar or a partly or fully chronological list of documents, such as a calendar of wills.
 
Back
Top Bottom