Ndg. Livin Amandus Singeu, nina ujumbe wako...

Ndg. Livin Amandus Singeu, nina ujumbe wako...

Nyati

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2009
Posts
2,528
Reaction score
1,920
Wakuu, Habari za majukumu mbali mbali.

Kama unamfahamu huyu jamaa njoo inbox kuna ujumbe wake wa muhimu ili uweze kumfikishia.

Kuna mahali amesahau kitambulisho chake cha Uraia wa Tanzania Bara (NIDA).
 
Kilikuwa kwenye wallet?
Vipi wallet ilikia na mpunga?
Kama vipi naomba tushee hako kagrisi mkuu
 
Peleka Kituo cha SISIeMU kilichokaribu nawe
 
Kilikuwa kwenye wallet?
Vipi wallet ilikia na mpunga?
Kama vipi naomba tushee hako kagrisi mkuu

Ndiyo maana tunashindwa kusaidiana ss kwa ss, mi nimekiona mahali wameki display kwa muda mrefu nikaona nisaidie labda kuna mtu anamfahamu ili akakichukue.
 
Back
Top Bottom