Wakuu habari. Leo naleta maafa ya hela ya bodi. Tukumbushane matumizi yake maana makato haya yanauma mno. Asilimia kumi na tano ngweeee.
Yaani mimi nakumbuka nilinunua makorokoro nya ajabu ajabu...
Ndugu wanabodi,
Nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu kuhusu vita ya UFISADI, lakini kiukweli sioni kama JPM yupo serious.
Hebu angalia jinsi kila kitu kilivyo wazi juu ya waliotufikisha hapa...
Salam,
Kuna video fupi(clips) zinazotembea sana kwenye mitandao ya kijamii ya hiki kipindi cha Penyeye za Kitaa. Baada ya kuona videos kadhaa ilibidi nikitafute youtube ili kujionea zaidi. Kwa...
Najiuliza kwanini pasaka kila mwaka inakuwa na tarehe yake?
Na kwanini pasaka ya leo wasinge itenganisha na siku kuu ya wajinga. Ili kuipa pasaka uzito?
Kwasababu leo watu wengi kila kitu...
Raisi wa Tanzania marakadhaa amekuwa akisisitiza sana Watanzania tudumishe AMANI,wanasiasa , viongozi wa dini, wananchi wa kawaida, wote wanasisitiza AMANI.yamkini hapa kunatatizo linalopelekea...
Mwaka 2015 ulikuwa na raha za aina yake hasa wakati wa kampeni za Urais.
ITV ilikuwa na maripota wawili nguli Emmanuel Buhohela akiripoti kampeni za Rais Magufuli na CCM huku Spencer Lameck...
Nimejalibu kuchunguza tabia za mbongo,ukimwomba mtu msamaha ndiyo anapata mzuka wa kukutupia lawama,hii tabia inasikitisha ndo maana wengine huwa hatuombi msamaha pale tunapokosea!!
Je kuna...
Habari za blue Monday wanajamvi!
Naenda kwenye mada, nikiwa kama mwanafunzi wa kawaida kabisa katika shule yetu iliyopo huku kijijini nashangazwa sana na huyu kiongozi wetu wa shule; amekua sio...
Kama uwezekano upo basi ningeomba siku kama ya leo 01/04 ifutwe kabisa.
Leo mida ya saa 1asubihi nikiwa nyumbani nilisikia simu ikiita kuangalia kaka yangu kanipigia akaniambia kuwa baba mdogo...
Bunju "B" - Viwanja vya Mradi (Karibu na soko jipya) vimegeuka kuwa mapori na hii inatishia usalama wa wakazi wa eneo hilo.
Kwa kuwa hii kero imekuwa ya muda, sasa kuna maadalizi ya kumualika Mh...
Mimi leo yule aliye nipeleka morogoro kisha nkakuta hewa mungu anakuona yani kusem kweli umeniharibia kabisa siku yangu umenifanya niishi kimaskini sana siku ya leo
Yani nimemind sana basi...
Nawasalim kwa upole wa kwarezima wakuu.
Nina mdogo wangu kutoka family friend ambae tumekua nae tangu tukiwa wadogo,Mungu amemjaalia mpaka sasa akahitimu diploma yake ya General Agricultural...
JUA JEKUNDU, MOTO MWEKUNDU, DAMU NYEKUNDU n.k
Naomba kujua UHUSIANO ULIOPO kati ya baadhi vitu na rangi nyekundu ?
Tujaribu kufikiri nje ya Ufahamu uliozoeleka, Fikiri nje ya BOX
Huu ni ukweli mchungu.
Nimejaribu kuangalia live performance za wasanii mbalimbali bongo kuanzia hao akina diamond na ali kiba, sijui weusi na wengine wengi sana, wote hamna kitu. Kusema ukweli...
Inspekta Jenerali wa Polisi, Simon Sirro anawashukuru Wananchi kwa ushirikiano wanaoendelea kuutoa kwa Jeshi la Polisi jambo ambalo limesaidia kupunguza uhalifu kwa kiasi kikubwa hapa nchini...
HAPPY RESURRECTION DAY "EASTER"
And the angel answered and said unto the women, Fear not ye: for I know that ye seek Jesus, which was crucified. He is not here: for he is risen, as he said...
Kwenye ukweli lazima usemwe,huyu dada wa mapokezi Aga khan polyclinic posta amekidhi vigezo vyote vya kuwa mfanyakazi wa mapokezi.
Kwa jina simfahamu,ila wajihi wake ni mrefu na mweusi,mwenye...