MKEHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 716
- 1,144
Mwaka 2015 ulikuwa na raha za aina yake hasa wakati wa kampeni za Urais.
ITV ilikuwa na maripota wawili nguli Emmanuel Buhohela akiripoti kampeni za Rais Magufuli na CCM huku Spencer Lameck akiwa ripota wa Lowassa na kambi ya UKAWA ilikuwa lazima uangalie taarifa ya habari ya ITV kujua ni mgombea yupi kapata nyomi siku hiyo. Ilikuwa raha kwelikweli wakati huo.
Ndiyo maana baada ya mikutano ya siasa kupigwa marufuku ni kama nchi imepowa sana. Sisi wengine raha yetu nikuona wanasiasa wakihutubia majukwani. Kwa kuwa michezo ilisha tushinda kila wakati tunanyolewa siasa ndio ilikuwa starehe yetu.