Kuna umuhimu gani wa kuomba msamaha?

Kuna umuhimu gani wa kuomba msamaha?

PAZIA 3

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
1,104
Reaction score
1,924
Nimejalibu kuchunguza tabia za mbongo,ukimwomba mtu msamaha ndiyo anapata mzuka wa kukutupia lawama,hii tabia inasikitisha ndo maana wengine huwa hatuombi msamaha pale tunapokosea!!
Je kuna umuhimu wa kuomba samahani?
 
Ndio umuhimu hupo tena mkubwa ...maana laana sio mpaka wazazi wako tu hata masela na watu baki wanaweza kukupa laana . siunamuona Nape alivyo sasa hivi.
 
Ndio umuhimu hupo tena mkubwa ...maana laana sio mpaka wazazi wako tu hata masela na watu baki wanaweza kukupa laana . siunamuona Nape alivyo sasa hivi.
Tatizo ni pale mtu unapokili kosa na kuomba msamaha,lakini ndo kwanza mtu anaanza kukupakazia maneno,mara tulimwambia,nk nk,sasa kwanini mtu uombe radhi na mabango juu?
 
Tatizo ni pale mtu unapokili kosa na kuomba msamaha,lakini ndo kwanza mtu anaanza kukupakazia maneno,mara tulimwambia,nk nk,sasa kwanini mtu uombe radhi na mabango juu?
Mkazie tu kama analeta mambo ya kiwaki ...msamaha unaweza kumuomba kile kitu kibaya ambacho ni unforgettable lkn sio kwa mambo madogo madogo tu kama ayo.
 
Ngoja waje wale wanaoombwaga msamaha na kuvimba kama chatu kameza chura
 
Umuhimu upo tena sana. Msamaha unamfanya mkoseaji kua na amani anaposamehewa hata aliyekosewa hasira na kinyongo humuisha pale anapo ombwa msamaha.

Shida ipo kwetu sisi binadamu, baadhi yetu wagumu kusamehe na wengine kutobadilika baada ya msamaha.
 
Back
Top Bottom