Baba_Enock
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 7,076
- 2,465
Bunju "B" - Viwanja vya Mradi (Karibu na soko jipya) vimegeuka kuwa mapori na hii inatishia usalama wa wakazi wa eneo hilo.
Kwa kuwa hii kero imekuwa ya muda, sasa kuna maadalizi ya kumualika Mh. Waziri ili atupe mwongozo ni nini hasa kifanyike dhidi ya wenye umiliki wa hivi viwanja.
Kama una kiwanja eneo tajwa hapo juu na umekibadilisha matumizi na kukifanya pori la kufugia nyoka tafadhali chukua hatua sasa ....
Mchana Mwema