hazole1
JF-Expert Member
- Jan 3, 2015
- 4,319
- 3,919
Najiuliza kwanini pasaka kila mwaka inakuwa na tarehe yake?
Na kwanini pasaka ya leo wasinge itenganisha na siku kuu ya wajinga. Ili kuipa pasaka uzito?
Kwasababu leo watu wengi kila kitu wanakichukulia ni masihara tu.
Au kuwekwa sikuu ya wajinga na pasaka siku moja ni fumbo ambalo wakristo wengi bado hawajarijua?