pakamwam
JF-Expert Member
- May 28, 2013
- 516
- 656
Wakuu habari. Leo naleta maafa ya hela ya bodi. Tukumbushane matumizi yake maana makato haya yanauma mno. Asilimia kumi na tano ngweeee.
Yaani mimi nakumbuka nilinunua makorokoro nya ajabu ajabu na kuhonga. Leo natamani bora nisingechukua
Kipindi hicho nimetoka single sex school yaani kwa jina lingine kupiga sound ni mate Au gundi. Nilikuwa naongea kwa hela ya boom alafu ikikata zinaanza sound nyumbani.
Wewe ulitumiajee