Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mtu anaezungumzia mustakabali wa maisha ya watanzania na kuelezea wizi wa Trillion 1.5, makusanyo hewa ya Trillion 2.2 kuna chombo cha habari kimoja. Diamond kuzungumzia jinsi anavyowashika shika...
20 Reactions
72 Replies
8K Views
Dada Lily Tesha amekamatwa na Polisi mkoani Morogoro takribani wiki moja sasa kwa madai ya uchochezi. Polisi wanadai Lily amejiunga na makundi ya Telegram na anahamasisha maandamano yanayoongozwa...
8 Reactions
68 Replies
9K Views
Kwa ufupi SUMATRA ni mamlaka ndani ya Serikali yenye kusimamia usafiri wa majini na nchi kavu. Ni mamlaka muhimu sana lakini utendaji wake wa kazi ni wa mashaka matupu. Kazi ya kusimamia sheria...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Nashindwa kupandisha picha hapa kwa maelezo ya kuwa siko verified, na hii imetokea baada ya ku-update app ya Jf, ilhali app kwa app ya zamani nilikua nafanya kwa urahisi tu. Hii imekaaje mods
0 Reactions
0 Replies
599 Views
Kufikia mafanikio sio jambo rahisi rahisi tu. Safari yake ni ndefu sana hata kama utakuwa na vyanzo,bado itahitaji mchakato. Asubuhi hii wakati najiandaa kwenda kanisani nimepata dakika 5 za...
3 Reactions
42 Replies
5K Views
Wanajf kwa wanafahamu jinsi Wafanyakazi wanavyoajiriwa katika mashamba ya katani TANGA NA MOROGORO
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Anayeweza kunisaidia jinsi ya kuweka application ya spy call katik cm ya uliyemkusudia msaada please
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Wadau hiii fani Ya udakitari zamani ilikuwa fani Ya kiheshima Lakini Siku hizi imevamiwa Sana huwa naenda Baar nakutana na madktari wanakuwa wamelewa chakali, wengne wanapigana wenyewe Kwa wenyewe...
4 Reactions
31 Replies
3K Views
Wizara ya Elimu tunaomba muongozo kuna shule binafsi zinafukuza kwa kushindwa kulipa ada yote hata MTU akilipa robo tatu ya ada anayotakiwa kulipa wanafukuza wanafunzi eg.Efatha seminary,
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Jana ilizunguka clip wakati anajadili sheria ya ndoa, akasema kuwa sheria yetu ni ya kwanza kwa usawa kati ya wanawake na wanaume. Akaisifu na kusema hata uingereza Male MPs wanalipwa zaidi kuliko...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Katika biashara ya aina yoyote, iwe halali au haramu kuna imani za kishrikina ambazo hufanywa na wafanyabiashara wakiamini kwamba zinawasaidia kuvutia wateja au kupata pesa zaidi. Hii hali haiko...
10 Reactions
56 Replies
12K Views
Nina wadada fulani nawafahamu walipangishiwa vyumba na wapenzi wao alafu wakaacha kwasababu wanazozijua wenyewe. Hao mabinti hawana kazi na wala hawana biashara inayoeleweka. Mmoja nilimuuliza...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Vijana wengi wa kiume wako busy vibandani kufuatilia mpira (VPL); hata hawajui kama kuna bunge!!. Wajane na wanawake walioachwa wako busy wawapelekeje waume zao na waliowazalisha kwa Makonda; Hata...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Wadau naaangalia mahojiano Ya hoja Ya itv Lakini sielewi maaana kuna ccm asili ambao ni wenye viti wa kamati za bunge na mchumia tumbo mwanachama mtafuta kula Ndugu kafulila Wakati kafulila...
0 Reactions
1 Replies
834 Views
Waziri wa Katiba na Sheria, Palamagamba Kabudi ameikosoa kampeni iliyoanzishwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ya kuwasaidia wanawake wenye watoto waliotelekezwa na waume zao na...
8 Reactions
161 Replies
19K Views
Jamani kafulila kamroga Nani tena? Mbona majanga? Yaaani kwenye mahojiano Ya hoja Leo vituko eti kafulila anatetea mafisadi na cccm inatetea wananchi Mimi sielewi au ni macho yangu hayaoni...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom