Dah!Hayupo mkuu
Wale wa emergency huwa wanabwagwa na kuachwa watu wanatembea.kwani walifikaje hospital? ingekuwa vema,utawala wafahamu hao jamaa waliletwa na nani na kutokea wapi? au zile kadi na mambo yote yanayojazwa na mgonjwa yanaishia kwenye daftari? kweli inakosekana mazingira ya kuwapata ndugu?
Maswali haya ndiyo yanapelekea majeruhi kukosa msaada, nimewahi mbeba mtu hajitambui nimemkuta kapata ajali ya pikipiki kaingia kwenye semi trailer. Wasamaria wakaniomba nimkimbize hospital. Nilipofika hospital wale walioongozana na mimi wakatoweka nikabaki na mgonjwa hajitambui. Sina chochote nachokijua kuhusu yeye. Niliokolewa na muuguzi. Kaniambia nenda mradi umemfikisha. Manake maswali naulizwa mengi hata sina majibu.kwani walifikaje hospital? ingekuwa vema,utawala wafahamu hao jamaa waliletwa na nani na kutokea wapi? au zile kadi na mambo yote yanayojazwa na mgonjwa yanaishia kwenye daftari? kweli inakosekana mazingira ya kuwapata ndugu?
Inawezekana mkuuKweli mkuu.
Ndio maana hiyo taatifa imetaja walipata ajali katika maeneo mbalimbali jijini Dar
aah,lakini kuna hao wanawaleta lazima wanafahamu walipowatoa,ama kwamba wao ndo hawasajiliwi kabisa ama kufuatiliwa kwamba imekuaje na ametokea wapi?Wale wa emergency huwa wanabwagwa na kuachwa watu wanatembea.
kweli,ni sahihi na sio vema kusumbuliwa kwa kiasi iko,ikiwa ishu ni ya dharula..lakini mkuu kunataarifa za awali ama zile za muhimu angalau iwe inafahamika kuwa mgonjwa ni ametoka wapi,amepatwa na nini na ameletwa na nani,katika mazingira yapi...maswali ambayo hayachukui hata dakika tano kuandika ama kujaza,kuliko ivo...mtu asifahamike kabisa,lasivyo wagonjwa wenyew wajieleze au wawe wazi kuelezea ama kukubali kurudi kwao kwa hiari.Maswali haya ndiyo yanapelekea majeruhi kukosa msaada, nimewahi mbeba mtu hajitambui nimemkuta kapata ajali ya pikipiki kaingia kwenye semi trailer. Wasamaria wakaniomba nimkimbize hospital. Nilipofika hospital wale walioongozana na mimi wakatoweka nikabaki na mgonjwa hajitambui. Sina chochote nachokijua kuhusu yeye. Niliokolewa na muuguzi. Kaniambia nenda mradi umemfikisha. Manake maswali naulizwa mengi hata sina majibu.
Nilikuja gundua jamaa waliokuwa wanajifanya wako nae kumbe walikuwa wanampekuwa mifukoni. Wakati mie nahangaika na barabara.
Wewe unauliza walifikaje. Swali la ajabu sana hilikwani walifikaje hospital? ingekuwa vema,utawala wafahamu hao jamaa waliletwa na nani na kutokea wapi? au zile kadi na mambo yote yanayojazwa na mgonjwa yanaishia kwenye daftari? kweli inakosekana mazingira ya kuwapata ndugu?
kilichokufanya ukimbilie kuquote comment yangu ni nini kabla hujaelewa kitu?Wewe unauliza walifikaje. Swali la ajabu sana hili
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
sa umechukua ,majeruh wa ajali umempeleka hospitali wakikuuliza anaish wapi we utajuaje?kwani walifikaje hospital? ingekuwa vema,utawala wafahamu hao jamaa waliletwa na nani na kutokea wapi? au zile kadi na mambo yote yanayojazwa na mgonjwa yanaishia kwenye daftari? kweli inakosekana mazingira ya kuwapata ndugu?
Kisichoeleweka kwenye comment yako ni kipi?kilichokufanya ukimbilie kuquote comment yangu ni nini kabla hujaelewa kitu?