Wadau naombeni kijuzwa nikitaka kutuma fedha toka Vodacom M-pesa na kwenda safaricom inchini kenya je, inawezekana? na makato yake yapoje? Nawasilisha waungwana.
Kama Picha inavyoonekana Tundu Lisu Kiongozi wa tls aliyeondolewa akijitambulisha kwa Spika wetu wa Bunge la JMTZ, lini Kiongozi mpya wa tls F.Karume naye ataenda?
Wanajamii inabidi mumfahamu daktari wa TMJ Hospital kwa jina la Kapiteni. Huyu ni mkongomani asiye na adabu hata kidogo.
Kila msichana na mwanamke anaeingia katika chumba chake cha udaktari...
Kama wewe n mtumiaji wa gmail Account. Kuna message zinatumwa na inaonekana umezituma wewe. Lakini ukweli ni kwamba hujazituma wewe. Na hakuna mtu aliye hack email yako. wanachofanya ni kuchukua...
Siku zote anayeujua kuwa panzi mzima au si mzima kwa panzi aliyeshikwa mkononi ni yule aliyeshika tu ndiye ajuae.
Pale anapokuuliza kuwa huyu panzi kuwa ni mzima au amekufa basi hakuna jibu sahii...
Mauaji
Mareh: h.1188 PC Valerian Temba
Mlal: ACP J. R. Njoka
Kwamba mnamo tarehe 14.04.18 majira ya 06:30 hrs huko katika benki ya crdb Tanga branch, kata ya central, tarafa ya Ngamiani...
Sijawahi 'muamini' ZZK. Ni muasis wa hoja nyeti sana katika nyakati ambazo anahitaji kutengeneza trust ya wananchi na Upinzani. Jamaa ni msomi, na 'intelligent'. Anajua kusoma mazingira, anajua...
Wadau wangu huko Dsm wananambia,Nabii na Mtume Josephat Mwingira wa kinisa la Efatha amenunua ndege yake binafsi ya kutembelea aina ya Hs 125-800 (British Aerospace twin jet engines) yenye usajili...
Nimewaza;
Mtu mwanasiasa anatakiwa ajue mambo mengi mno mtambuka anatakiwa ajadili hisabati, sayansi, sanaa, sheria, biashara, uchumi, mambo ya kimataifa karibu kila kozi.
Kutokuwa na uelewa wa...
Mount Taranaki, or Mount Egmont, is an active but quiescent stratovolcano in the Taranaki region on the west coast of New Zealand's North Island.
Although the mountain is more commonly referred...
Simu ninayotumia sio smartphone kusema data olikua on! Kwa kweli inauma pale lijitu linapokuharibia bajeti ya matumizi ya salio la muda wa maongezi!
Sio mara ya kwanza kukuta salio limepungua...
*1.WANAOISHI JANA*
Kuna hili kundi la kwanza la vijana ambao wao wanaishi jana,maisha yao yote wamewekea umakini kwenye mambo yaliyowatokea jana, nilifeli shule, niliachwa,nilianzisha Biashara...
Wasalam wanajukwaa,,,
Nimeona niilete humu pia maana ishakua too much,,,,
Kuna mchezo mbaya mno umeingia Bandarini, mchezo huyo unachezewa na TPA, TRA wakishirikiana na Serikali yenyewe ni hivi...
Baadhi ya barabara zetu hapa nchini hali kama hii ni kawaida sana nakumbuka kipande cha kutoka Mlandizi mpaka Ruvu darajani
Nakumbuka pia ukiwa unaingia mkoa wa Songwe ukiwa unatoka mkoa Mbeya...
Nikolae Ceausescu alikuwa ni Rais wa Romania na Katibu Mkuu wa chama tawala aliyetawala kwa mkono wa chuma.
Kauli yake ilikuwa ni sheria na ole wake aliyethubutu kuukosoa utendaji wake vyombo...
Je malaika ni wanawake ama hawana jinsia?Tunaona pia walipokwenda sodoma na gomora wanaume wa pale walitamani kuwaingilia,je ni kwa nini walikuwa katika umbo linaloleta matamanio kwa watu?
Hili...
Hawa watumishi wa darasa LA saba walioajiriwa kuanzia 20 mei 204 hadi 2017 hawakujiajiri wenyewe ni serikali iliwaajiri na hadi check no wakapewa na isitoshe Raisi alisema mei mosi...
My friend has lost more than Tsh 4 millions after he incurred loss by the broker that was shown to him by Ontario,the broker is known as JPMarkets and is located in South Africa.
Ontario is...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.