Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ujanani ni Kipindi binadamu anakuwa na nguvu na akili yake ni nyepesi kueleea mambo kadhaa. Huu ndiyo wakati mzuri wa kijana kusaidiwa au kuwezeshwa kuwekeza kwa siku za usoni. Iwe kwenye elimu au...
28 Reactions
76 Replies
5K Views
Jeshi la Polisi leo limeanza doria katika maeneo mbalimbali ya mkoani Morogoro, doria ambayo inatarajiwa kudumu kwa siku tatu mfululizo mpaka Aprili 27, 2018. Kamanda wa Polisi wa Mkoa huo...
0 Reactions
36 Replies
5K Views
Makamu wa Rais TCCIA Octavian Mshiu (katikati) akizundua huduma mpya ya TMY leo, kulia kwake ni Mkurugenzi Mtendaji wa TCCIA Gotfrid Muganda akifwatiwa na Patrick Emmunel Meneja Maendeleo ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naombeni mnisaidie huu msemo nimekuwa nikiusikia sana haswa maeneo ya maofisini kuhusu wanyamwezi ambao asili ya Tabora na Shinyanga. Sasa kumekuwepo na msemo usemao mzigo mzito mpe mnyamwezi huu...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Prof. Mussa Assad, ametoa msimamo mkali kuhusu majukumu yake kwamba hatumii utashi binafsi au kufuata maoni ya mtu yeyote bila kujali nafsi...
14 Reactions
84 Replies
12K Views
Msaada wa kiimani baba yangu leo ameniambia toka alivyo acha kwenda kanisani yapata miezi minne sasa anasema mambo yake yamekua mazuri mno sasa nimfanyeje ili amrudie muumba wake
0 Reactions
1 Replies
776 Views
Wenyeji wanaamini kuwa maeneo hayo yana maiti ya watu takriban elfu tatu. Ugunduzi huo umekuja wiki moja baada ya muda ya maombolezi rasmi ya kukumbuka maafa makubwa ya dunia nchini humo. Watu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
We may hit Russian systems in Syria, Israel says after threats of 'catastrophic consequences'
1 Reactions
0 Replies
618 Views
Leo tarehe 25|04|2018 asubuhi mida ya saa kumi na mbili asubuhi, niliamshwa na milipuko ya risasi na mabomu nikaharuki kidogo lakini nikakumbuka trh 26|04|2018 kutakuwa na maandamo. 1.Nikajiuliza...
1 Reactions
0 Replies
803 Views
Hivi punde maafisa wa Polisi (Isagana) wamemweka nguvuni mwanafunzi wa UDOM aliyepostiwa na Mange Kimambi akisapoti maandamano.
6 Reactions
196 Replies
25K Views
habari zenu wakuu!!!! katika kupitapita kwangu huko mbeya nilipita katika hospitali ya mkoa wa mbeya nilishuhudia jinsi madaktari Na manesi walivyokua wazembe na dharau Kwa wagonjwa wao na...
1 Reactions
14 Replies
46K Views
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
0 Reactions
0 Replies
637 Views
Mtu umepoteza simu, unaambiwa uende na kitambulisho halali. Unakibeba wanakuomba photocopy yake unaitoa. Mwisho wa siku wanakuambia utaje namba tano ulizokuwa unawasiliana nao. Nizitaje kutoka...
0 Reactions
0 Replies
622 Views
Au nao wana presha ya maandamano
0 Reactions
1 Replies
964 Views
Naomba mwenye kufahamu Ofisi za Ustawi wa Jamii mkoani Dodoma zipo pahali gani? nashukuru
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Habari waungwana! Naombeni elimu/msaada, ni mfuko upi wa jamii mzuri kwa mwajiriwa mwenye mkataba wa kazi mfupi. Uzuri wa mfuko kwa maana masharti nafuu na faida zaidi. Karibuni.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ripoti Kamili Imeambatanishwa Size: 5.5MB Format: PDF Source: Tanzania Human Rights Report 2017 Pia Unaweza kupata Ripoti Kamili ya Human Rights Watch 2018 kuhusu Tanzania, Ukandamizwaji wa...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Wapendwa salaam alyk, tumsifu Yesu Kristo wana JF, Kuanzia jana siko vizuri nimehangaika nimekosa nimetafuta bado sijapata wapendwa ninashida ya kusaidiwa hela ya unga tuu. Please nisaidieni...
1 Reactions
44 Replies
5K Views
Usiku huu majira ya saa 1:35 hivi tumevamiwa nyumban kwa kuwa wezi walikuwa wanakomaa kuvunja gate nikapiga 112 jaman haipokelewi mpaka nikabid nipige 111 lakin bado ikawa ni tatizo mpaka tulipo...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Back
Top Bottom