Sunshow
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 1,140
- 391
Kwa ufupi SUMATRA ni mamlaka ndani ya Serikali yenye kusimamia usafiri wa majini na nchi kavu. Ni mamlaka muhimu sana lakini utendaji wake wa kazi ni wa mashaka matupu.
Kazi ya kusimamia sheria zilizopo inahitaji taaluma na weledi wa hali ya juu. Lakini kwenye utendaji kazi wa SUMATRA suala la taaluma hakuna.
Mfanyakazi wa sumatra awe mpishi, dereva, mlinzi, mtu wa usafi na mtu wa mapokezi ili mradi amevaa kitambulisho shingoni ruksa kusimamisha gari na kukuandikia faini. Hii nchi ya ajabu kweli kweli. Hivi hao wafanyakazi wanapokuwa wanapewa mikataba huwa hawapewi "job description"?