Wakazi wa Chanika jijini DSM wamejikuta katika wakati mgumu baada ya kampuni ya ujenzi iitwayo milembe Construction kuchimba kipande cha mita takribani 100 kwa lengo la kukarabati.Hata hivyo...
Wakazi wa Chanika jijini DSM wamejikuta katika wakati mgumu baada ya kampuni ya ujenzi iitwayo milembe Construction kuchimba kipande cha mita takribani 100 kwa lengo la kukarabati.Hata hivyo...
Kutokana Na madudu yanayofanyika Na chama cha waalimu CWT kwa matumizi ya fedha za chama chao bila utaratibu ni dhahiri sasa kuna haja ya Serikali kuingilia kati Na kusitisha makato yanayokatwa Na...
Wana JF wenzangu, nimekuwa nikijiuliza kuhusu swala la mita ya umeme kwamba mteja anapoinunua inakuwa mali yake au ya TANESCO?
-Kama ni mali ya mteja anaruhusiwa kuiuza, kuiharbu, kuigawa...
Tangazo la mtaalam mmoja anayejiita RAS SIMBA...
Unafundishwa kuongea kiinglishi kwa kanuni za hatari usipoelewa unarudishiwa ada yako yote, na anakuhakikishia hutaelewa mahala popote duniani...
Wakuu kama mnavyojua waziri Joyce Ndalichako alitoa ahadi ya kumsomesha mdogo wa marehemu Akwilina mpaka chuo kikuu.
Ndalichako aliamua kufanya hivyo baada ya kusikia huyo binti alikuwa...
Kwa muda mrefu nimekuwa nikijiuliza ni kwanini watu wenye mioyo ya kusaidia wenzao wanapokuwa shida lakini ikitokea upande wao wakiwa na shida au wamekwama huwa hawasaidiwi.
Nazungumza hivi...
Ni katika kuupokea Msiba wa Marehemu Masogange huko kwao mbeya kwa Ajiri ya mazishi.
inaonyesha wanachama wa CCM wakiupokea msiba huo huku wakiwa na sare zao za chama wakichukua jukumu la kuubeba...
Mara kadhaa mjini Arusha kumekuwepo na Msafara wa Wafungwa kutoka kisongo kuelekea Mahakamani ,Ulinzi wao ni mkubwa sana , Barabara huwa nyeupee kutoka kisongo hadi mahakamani.
Binafsi nimebaki...
Habari wanajamvi
Wasomi ndio dira kwa taifa lolote lile duniani, wasomi ndio tegemeo la wananchi. Wananchi huwa na imani kubwa sana wakiona wasomi wanafanya jambo fulani basi nao huiga kwa kuona...
KISARAWE, PWANI: Watu wanne wanaodhaniwa kuwa majambazi wameuawa leo katika majibizano ya risasi na polisi
> Mmoja wa Majambazi hao amejeruhiwa na kukimbia
Jeshi Polisi limefanikiwa kuwadhibiti...
NAANDIKA owomkyalo KIPI NI HATARI KATI YA BANGI NA TUMBAKU ?
31 May kila mwaka dunia huadhimisha siku ya kuacha tumbaku! Wataalamu wa afya hutumia sikuhiyo kuainisha madhara yatokanayo na...
*MPANGO MCHAFU WA MANGE KIMAMBI NA FREEMAN MBOWE WAVUJA!!!!!!!!*
• Wakutana Marekani kujadili mipango ya kuivuruga Tanzania
• Watanzania waishio Marekani watahadharisha.
Na Julius Bernard...
Kwa wakawazi wa Arusha , kuna huyu Traffic kwa Jina Simjui ,Jinsia ya Kike mtu wa makamo kidogo ana Matege huwa anapenda kuweka kambi pale kona ya Nairobi kwa mbele kidogo kulekea mbauda, pia pale...
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na daktari bingwa wa kupandikiza figo hospitali ya Taifa Muhimbili amesema tangu hospitali hiyo waanze kupandikiza figo mwaka jana, idadi ya wanaojitolea kutoa...
Bora uwe masikini lakini uwe na amani kuliko Kuwa tajiri ukawa hauna amani,..
Na amani ikitoweka kurudi ni kazi sana hakuna atakae Kuwa na imani miongoni mwao ambao sasa wana onekana Kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.