cluster ndara
JF-Expert Member
- Apr 1, 2018
- 211
- 318
Wadau naaangalia mahojiano Ya hoja Ya itv Lakini sielewi maaana kuna ccm asili ambao ni wenye viti wa kamati za bunge na mchumia tumbo mwanachama mtafuta kula Ndugu kafulila Wakati kafulila anatetea ccm wenye ccm wenyewe wanamkanusha na kumuelimisha juu Ya ripoti Ya cag yani kafulila anatetea mafisadi ccm inatetea wananchi je nini kimekumkuta huyu kafulila kachanganyikiwa hivyo Leo? Au sio kafulila ninaemuonaukwenye TV Ya itv? Huyu Kijana karogwa gafla na mafisadi au ebu nielekeze