Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Sina mengi ila nazidi kushangazwa namna watu wanavyopigania ufalme wa Shetani. Hakuna aibu tena, watu wameamua kuweka ufusika wao hadharani. Nafahamu watu tunafanya maovu ila sio kwa staili hii...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari,wanajamii jana kuna suala ambalo limenigusa sana na si mara moja kutokea bali ni mara ya pili juzi kuna ndugu yangu alitumiwa pesa kwenye mtandao fulani wa simu alipoipokea ile pesa...
2 Reactions
43 Replies
6K Views
Kiwanda cha mafuta ya kula cha korie kilichopo Vinguguti kinaunguwa muda huu.
0 Reactions
16 Replies
7K Views
Imekuwa ni kawaida kwa mkulu kutokwenda maeneo ambayo hakuungwa mkono kwa kiasi kubwa ndio mana aliamua kubadili gia angani. Watu wa kimanzichana mnalo kama watu wa mkoa wa mbeya ni yale maeneo...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Benki ya Dunia (WB) imekubali kushirikiana na Serikali ya Tanzania katika kukabiliana na athari za mafuriko zinazosababishwa na mvua kubwa zinazonyesha kila mwaka katika Jiji la Dar es Salaam na...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Serikali imeeleza kuwa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) inatekeleza Mpango wa Miaka Mitano (2017- 2021), wa kusogeza huduma karibu na wateja kwa kuanzisha ofisi za Kikanda katika Kanda...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndugu wanajamvi. Mbarikiwe wote. Tigo Tanzania sijapenda haya mambo yenu. Leo nimenunua Salio katika tigo pesa ili nijiunge na huduma ya vifurushi. Mara gafla nashangaa naambiwa fedha yangu...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wadau, Kuna anayejua kama mabasi yanayofanya safari za kutoka Dar kwenda Lushoto Mtae, Ntekelei kama yameanza safari anijulishe, kwa kuwa mvua zinazoendelea kunyesha imezuia hayo mabasi yasifike...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Serikali imeeleza kuwa haiwezi kuhamisha jukumu la kulipa pensheni ya Wastaafu wa Shirika la Posta na Simu wa iliyokuwa Jumuiya ya Afrika Mashariki kwenda kwenye mojawapo ya Mifuko ya Hifadhi ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu hoe mnamalizia week vizuri kabisa.. Staraight to the point napenda kujuzwa whats behind this kigugumizi kinasababishwa na nini ? Is it gebetically inherited ? Na pia kuna namna...
0 Reactions
0 Replies
732 Views
Mpaka mwaka huu 2018 mkoa pekee usiounganishwa kwa Lami ni Katavi, kwa kumbukumbu za haraka haraka nafikiri Mkoa huu ndiyo wa Mwisho katika nyanja za miundombinu. Mawasiliano ya barabara kutoka...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Yaani kila Siku Wateja wa Simu za Mikononi tunapata usumbufu wa kupokea Meseji za usumbufu na kutapeliwa na Watu ambao kwa taarifa za chini chini kabisa zinasema kwamba wanashirikiana na Watendaji...
6 Reactions
10 Replies
1K Views
Hii hela iliyopotea ni nyingi mno kiasi kwamba kama ingekuwa inabaki hapa nchini na kuingia katika mzunguko wa hela nadhani hali mitaani isingekuwa tigh kama ilivyo leo hii ila kwakuwa mambo ni...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Mara nyingi tumekuwa tukisia watu wakisema kuwa eti "Mke mwema anatoka kwa BWANA". Utaona watu wengi wamekuwa wakiyatumia haya maneno hasa pale wanapokuwa wakitafuta Mke. Hakuna mke mwema duniani...
2 Reactions
37 Replies
8K Views
Wandugu, as I speak, mwenzetu Leonard Kiharuzi yupo Central Polisi, amekua akitafutwa kwa wiki mbili zilizopita, allegedly kwa post/comment aliyosema humu, kwenye group hili, ambayo imetafsiliwa...
1 Reactions
89 Replies
12K Views
MATUTA BARABARA YA TUNDUMA - SUMBAWANGA YAPUNGUZWE! Habari za muda huu? Niende moja kwa moja kwenye mada husika. Kwa waliopita barabara tajwa hapo juu watakubaliana nami kuwa sasa inatosha...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Salama wakuu? Kwenye simu yangu leo hii mida ya saa tano amepiga simu mtu akiniuliza naitwa nani natokea wapi nina kiasi gani cha pesa, kwa kuwa si mara ya kwanza kupigiwa simu na matapeli wa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Abiria 54 waliokuwa wakisafiri kwa mashua kutoka Shimoni, Mombasa nchini Kenya kuelekea Kisiwa cha Pemba wanadai kutelekezwa jijini Tanga baada ya kukamatwa na watu waliokuwa kwenye meli kubwa...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Tumeshudia wizi, tamaa, uroho na ufisadi katika kila chama na serikalini, kuanzia... Gugai na wenzake watatu wapandishwa mahakamani Kisutu, wasomewa mashtaka 43 Gugai na wenzake watatu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom