cluster ndara
JF-Expert Member
- Apr 1, 2018
- 211
- 318
Wadau hiii fani Ya udakitari zamani ilikuwa fani Ya kiheshima Lakini Siku hizi imevamiwa Sana huwa naenda Baar nakutana na madktari wanakuwa wamelewa chakali, wengne wanapigana wenyewe Kwa wenyewe kugombania mademu wa Baar, wengne wanakata viuno Baar, wengne wanataperi baaar wengne wanakopa bia wengne wanatukana wengne wamevaaa milegezo, wengne wamenyoa Kama wahuni sasa nimehangaika Sana kutaka kujua shida ni nini Lakini pia huko mitaaani ukiwakuta yani ukiambiwa huyu ni daktari unainamisha kichwa yani mimi naomba kujua hiii fani imekumbwa na nini? Yani Kwa Siku hizi wanasikitisha mambo yao
Pia nimeshangaaa Sana kuna daktari mmoja huku tabora nilijaribu kupiga nae story za kitabibu aiseeee yani nilishangaaa kuna mambo meeengi hajui kabisa yani Mimi Wa kidato cha nne kuna mambo ya kitabibu nayajua kuliko yeye yani wengne ukiwauliza juuu Ya mambo Fulani wanadanganya sasa sijui Siku hizi Kama vile kuna watu wamevamia hiii fani wanatudanganya huko chuo angalia vizuri mtatua jamani hivi dktari anashidwa hata kuelezea namna Mimba inaingia Kwa mwanamke kweli jamani duuuuh mnaojiiita madaktari hasa Hawa vijana wa sasa hivi mnatia aibu kubwa jirekebisheni mnadharirisha fani