Wakati kafulila anatetea mafisadi ccm inatetea wananchi

cluster ndara

JF-Expert Member
Apr 1, 2018
211
318
Jamani kafulila kamroga Nani tena? Mbona majanga? Yaaani kwenye mahojiano Ya hoja Leo vituko eti kafulila anatetea mafisadi na cccm inatetea wananchi Mimi sielewi au ni macho yangu hayaoni vizuri?labda sioni vizuri ngoja nikungute macho niangalie vizuri
 
Yaani ccm wate awajielewi wanatujua sisi wananchi ni waji ni wajinga
 
Kawaida yenu mtu akiwa tofauti na mawazo yenu mnamtisha kwa kumtukana, kumdhalilisha, kumuita majina ya ajabuajabu. Kafulila kaeleza poa sana
 
Acha ufwala, kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake kikubwa asivunje sheria za nchi.
 
Back
Top Bottom