Huu ndio mgawanyo wa majukumu kibongobongo msimu huu

Mwene chungu

JF-Expert Member
Nov 12, 2016
916
751
Vijana wengi wa kiume wako busy vibandani kufuatilia mpira (VPL); hata hawajui kama kuna bunge!!. Wajane na wanawake walioachwa wako busy wawapelekeje waume zao na waliowazalisha kwa Makonda; Hata hawajui kama kuna bunge!.

Wanaoishi mabondeni wako busy namna ya kujinasua na mafuliko hata hawana habari na uwepo wa vikao cha bunge!! Mashabiki wa Dimond wako busy insta kuangalia picha Diamond akibinuana na Hamisa na mtoto wa kiarabu hawana habari na uwepo wa vikao vya bunge.

Mashabiki wa Alikiba wako busy kumtakia kila la heri Official kiba kwa kuoa.
Followers wa Mange kimambi wako busy kuchungulia Mange atasema nini kuhusu 26/04/2018.

Viongozi wa CDM wako busy kuhangaika na kesi ya kuandaa maandamano bila kibali. Wabunge wa upinzani wanapiga kelele na waccm wakibishana nao maana hatuwaoni!!!!!

Vijana wa CCM wako busy mitandaoni kutukana wanaohisi ni maadau zao na hawana wasiwasi wakiamini wako salaama kwani wao hawashitakiwi hata wakitukana nao hata hawana habari na bunge linaloendelea..

Akina mama, bibi na babu vijijini wako busy shambani kwani mvua ndo kila kitu kwao... hawajui kama kuna kitu kinaitwa bunge.. Msiba yuko busy kuzua mambo ili gazeti lake liuze wengine wanajua kweli anaitetea nchi kumbe anatetea tumbo lake!!... Mawaziri wako busy kupunch hoja za CAG bungeni wakati wabunge wengine hata hawasikilizi kinachoendelea!!..

TV ZOTE ZIKO BUSY ZINAONESHA PICHA NA VIDEO ZA MFULIKO na athari za mafulikko NCHINI..bunge linaonesha vipandevipande!!!...
CAG YUKO ANASHANGAA KWANINI 1.5 TILION ZIMEPOTEA ALAFU TAIFA LIKO BUSY NA MAMBO MENGINE...HII NDIYO TANZANIA HAPA KAZI TU......
Vpl ikiisha,mafuliko yatapita,lkn tln 1.5 kamwe hazitaonekana!!!!

FB_IMG_1523960191207.jpg
 
TUMELELEWA NA KUFUNDISHWA KUTOKUJALI, KUTOJIHISISHA NA MAMBO YANAYOENDELEA KWENYE NCHI YETU WENYEWE. UKIFANYA HIVYO, UNAONGEZWA KATIKA LIST YA MAADUI WA TAIFA.
 
"Usipojiandaa kushinda,jiandae kushindwa" Watanzania wengi wanamsongo wa mawazo,kwa sababu walikuwa hawajajianda kushinda,sasa haya ndio matokeo yake.
 
Mada tata iliyowasilishwa kitatanishi. Anayekemea anaambiwa ni kwa maslahi yake,anayenyamaza anaitwa mnafiki, Kama hatujui tunakokwenda kwanini kila mtu asiende anakoona inafaa!
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Vijana wengi wa kiume wako busy vibandani kufuatilia mpira (VPL); hata hawajui kama kuna bunge!!. Wajane na wanawake walioachwa wako busy wawapelekeje waume zao na waliowazalisha kwa Makonda; Hata hawajui kama kuna bunge!.

Wanaoishi mabondeni wako busy namna ya kujinasua na mafuliko hata hawana habari na uwepo wa vikao cha bunge!! Mashabiki wa Dimond wako busy insta kuangalia picha Diamond akibinuana na Hamisa na mtoto wa kiarabu hawana habari na uwepo wa vikao vya bunge.

Mashabiki wa Alikiba wako busy kumtakia kila la heri Official kiba kwa kuoa.
Followers wa Mange kimambi wako busy kuchungulia Mange atasema nini kuhusu 26/04/2018.

Viongozi wa CDM wako busy kuhangaika na kesi ya kuandaa maandamano bila kibali. Wabunge wa upinzani wanapiga kelele na waccm wakibishana nao maana hatuwaoni!!!!!

Vijana wa CCM wako busy mitandaoni kutukana wanaohisi ni maadau zao na hawana wasiwasi wakiamini wako salaama kwani wao hawashitakiwi hata wakitukana nao hata hawana habari na bunge linaloendelea..

Akina mama, bibi na babu vijijini wako busy shambani kwani mvua ndo kila kitu kwao... hawajui kama kuna kitu kinaitwa bunge.. Msiba yuko busy kuzua mambo ili gazeti lake liuze wengine wanajua kweli anaitetea nchi kumbe anatetea tumbo lake!!... Mawaziri wako busy kupunch hoja za CAG bungeni wakati wabunge wengine hata hawasikilizi kinachoendelea!!..

TV ZOTE ZIKO BUSY ZINAONESHA PICHA NA VIDEO ZA MFULIKO na athari za mafulikko NCHINI..bunge linaonesha vipandevipande!!!...
CAG YUKO ANASHANGAA KWANINI 1.5 TILION ZIMEPOTEA ALAFU TAIFA LIKO BUSY NA MAMBO MENGINE...HII NDIYO TANZANIA HAPA KAZI TU......
Vpl ikiisha,mafuliko yatapita,lkn tln 1.5 kamwe hazitaonekana!!!!

View attachment 747489
mkuu mjadala wa bunge live unaangalizia channel gani tusaidie tutakuwa bize nayo
 
na mimi niko nawacheck tu mnayofanya halafu nashangaa nabaki nasema hiiiiiiii!!!!!
 
Back
Top Bottom