Kwa wale tunaotumia simu na mitandao kampuni za simu zimetufanya shamba la bibi.
leo nimeongeza vocha ya 1000 airtel nilipotaka kujiunga na bando ya intaneti wakaniambia nijaribu tena baadae...
Nimetoka kibaruani hapa sasa hivi naambiwa kuna mchango wa lazima tshs 20,000 kuchangia sijui shule tena nikajulishwa kuwa sasa hivi imebadirika imekuwa elfu 70, kitu kilichonisikitisha zaidi...
Binafsi napenda kuishauri Serikali za mikoa yote ya Tanzania ziwakamate watoto wote wa mitaani ili kila mtoto awataje wazazi wake kisha Serikali ndio ihangaike na hao.
Watoto ambao wanaishi na...
Habari zenu ndugu!!
Ninaomba msaada wa kuelekezwa, kama ninatokea Mawasiliano nataka kwenda TMJ hospital, ninapanda magari ya wapi na ninashukia kituo gani?
Je, TMJ wanapokea Bima ya afya...
Katika taarifa y ahabari leo saa mbili usiku TVT wametangaza kuwa zawadi ya mshindi wa Vodacom miss TZ amepewa gari aina ya RAV 4 Grand vitara ya million 42 na baadaye mwandishi aliyeleta habari...
Kenneth Kaunda, Samora Mashelli, J. K.Nyerere ......these men show the real spirit of fighting on behalf of their people...
Now days we have people who pretending fighting for their people but...
Kampuni ya mabasi ya Dar Express inawalaghai abiria wanaotoka Rombo na Arusha kuelekea Dar kwamba basi litapitia barabara ya Chalinze lakini wakifika Msata wanawapitisha Bagamoyo hata kama huyo...
Huyu ni Mwenyekiti wa chadema F.Mbowe, hachaguliwi na Wanachama na wala hawezi kuondolewa kwani hakuna anayejua jinsi ya kumuondoa, dawa ni kumkatia hela zetu ili aendeshe lichama lake kwa hiyo...
Wapendwa,
Tumeondokewa na Mchungaji wetu wa kanisa la KKKT Kigamboni ambaye kabla ya hapo alikuwa KKKT usharika wa Sinza.
Amepata ajali mbaya jana usiku akiwa anatokea Mbagala kurudi kwake...
Nimeshuhudia askari mwenye SMG akimrusha kichra kijana mvuluna mwenye umri wa miaka kati ya 18-20 katika barabara ya Barack Obama. Ilikuwa mchana saa 7 mchana.
Kijana alikuwa na racksack...
Mke na Mume asubuhi moja wamegombana ndani ya nyumba. Mwanaume anadai kwamba mkewe ndio mwenye kosa na anapaswa kumuomba msamaha. Mke hakuona ni issue kwake na hakuona haja ya kusema "samahani"...
Wadau naombeni kijuzwa nikitaka kutuma fedha toka Vodacom M-pesa na kwenda safaricom inchini kenya je, inawezekana? na makato yake yapoje? Nawasilisha waungwana.
Kama Picha inavyoonekana Tundu Lisu Kiongozi wa tls aliyeondolewa akijitambulisha kwa Spika wetu wa Bunge la JMTZ, lini Kiongozi mpya wa tls F.Karume naye ataenda?
Wanajamii inabidi mumfahamu daktari wa TMJ Hospital kwa jina la Kapiteni. Huyu ni mkongomani asiye na adabu hata kidogo.
Kila msichana na mwanamke anaeingia katika chumba chake cha udaktari...
Kama wewe n mtumiaji wa gmail Account. Kuna message zinatumwa na inaonekana umezituma wewe. Lakini ukweli ni kwamba hujazituma wewe. Na hakuna mtu aliye hack email yako. wanachofanya ni kuchukua...
Siku zote anayeujua kuwa panzi mzima au si mzima kwa panzi aliyeshikwa mkononi ni yule aliyeshika tu ndiye ajuae.
Pale anapokuuliza kuwa huyu panzi kuwa ni mzima au amekufa basi hakuna jibu sahii...
Mauaji
Mareh: h.1188 PC Valerian Temba
Mlal: ACP J. R. Njoka
Kwamba mnamo tarehe 14.04.18 majira ya 06:30 hrs huko katika benki ya crdb Tanga branch, kata ya central, tarafa ya Ngamiani...
Sijawahi 'muamini' ZZK. Ni muasis wa hoja nyeti sana katika nyakati ambazo anahitaji kutengeneza trust ya wananchi na Upinzani. Jamaa ni msomi, na 'intelligent'. Anajua kusoma mazingira, anajua...
Wadau wangu huko Dsm wananambia,Nabii na Mtume Josephat Mwingira wa kinisa la Efatha amenunua ndege yake binafsi ya kutembelea aina ya Hs 125-800 (British Aerospace twin jet engines) yenye usajili...