Really Fighters

Really Fighters

Baba Mtakatifu

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2017
Posts
1,332
Reaction score
2,467
Kenneth Kaunda, Samora Mashelli, J. K.Nyerere ......these men show the real spirit of fighting on behalf of their people...

Now days we have people who pretending fighting for their people but in reality they are parasites .....fighting for their owns..... Still peoples money........putting people in great poverty.. ....make people to suffer ......

Dear God delete these people in this world right now.

Thanks
FB_IMG_1524383308787.jpg
 
hata ukiangalia macho yao hayana chembe ya uoga asee
 
Nyie watu hamchoki kumsakama mzee. watu wa pwani licha ya upendeleo bado hawaoni mema ya mzee.mwacheni apumzike mtakatafu baba wa taifa mzalendo wakweli aliye walea wanae kama watanzania wa kawaida.
 
hata ukiangalia macho yao hayana chembe ya uoga asee
Wapo radhi Hata kufa ili kutetea wanyonge wasidhulumiwe...... Nyerere akirudi Sasa hivi anachapa viboko Vijana wote nchini..... Maana alisema akasema na bado akatia msisitizo....vijana msiwe waoga.... Kuweni majasiri kumhoji yeyote mnamtia shaka.....kiongozi yeyote msiogope kumhoji maana ni haki yenu.... Leo hii utafkiri nchii hii haina wakaaji.... Very sad
 
Mfumo wa elim na malezi anayopata yana nafasi kubwa kumfanya mtu aonekane anavyoonekana, vijana wengi wako hivyo kutokana na malezi na Mfumo wa elim. '
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom