nicholaus mbwambo
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 287
- 233
Siku zote anayeujua kuwa panzi mzima au si mzima kwa panzi aliyeshikwa mkononi ni yule aliyeshika tu ndiye ajuae.
Pale anapokuuliza kuwa huyu panzi kuwa ni mzima au amekufa basi hakuna jibu sahii ambalo wewe.utajibu.
Kwani anaweza akawa mzima na wewe ukamjibu kuwa amekufa kisha akamwachia akaruka .
Au ukamjibu kuwa mzima yeye akachukua maamuzi ya kumfyinya.mpaka akafa na.ukawa umekosa
Kwangu Mimi mwanasiasa mamchukulia mfano wa mtu ambae amepewa ategue fumbo ili na mwananchi wewe na Mimi ni mtegaji wa fumbo .
Japo kunaendelea kuwepo kwa malalamiko juu ya utendaji wa viongozi ambao in zao la siasa kuto kuwajibika au kukosa hushirikiano mzuri na viongozi wemzao.Kwa kujiona kuwa wameshafanikiwa labda au mitazaomo yao tofauti.
Lakini naimani kuwa wanamtihani mzito sana mbele yao mtihani ambao kuutegua utakuwa vigumu.kwani mtegaji ndiye mwenye maamuzi.kuwa upate au.ukose.mtihani huu
Naomba ndg.zangu kuwa muwe wavumilivu na.utulivu muda utaongea tu kwani si pesa tu ndio ziongeazo
Nasisaitiza muda.pia unaongea tuwe wavumilivu na watulivu