Hivi nini sababu ya kigugumizi cha gafla?

Hivi nini sababu ya kigugumizi cha gafla?

Ubongo wakati mwingine unakuwa speed kuliko utamkaji wa maneno.NB kuna kigugumizi cha kuiga hugeuka kuwa kilema
 
Ni mshtuko tu mkuu wewe ukamatwe umeiba tena shaidi akakuona live.....utaacha kupata kigugumizi?????
 
Muulize Magu alipomuuliza CAG alipata kigugumizi hafla anaweza akajua tiba yake
 
Mara nyingi husababishwa na hasira, wasiwasi, woga, taharuki, au pale mtu anapoongea uongo.
 
Nasubiri jibu la kitaalamu zaidi na hasa la kisayansi likiongelea ni mabadiliko gani hutokea ghafla mwilini mpaka kusababisha hali hiyo?
 
Back
Top Bottom