TVT mchemsho kwenye taarifa ya habari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TVT mchemsho kwenye taarifa ya habari

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by FairPlayer, Aug 28, 2008.

 1. FairPlayer

  FairPlayer JF-Expert Member

  #1
  Aug 28, 2008
  Joined: Feb 27, 2006
  Messages: 4,166
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Katika taarifa y ahabari leo saa mbili usiku TVT wametangaza kuwa zawadi ya mshindi wa Vodacom miss TZ amepewa gari aina ya RAV 4 Grand vitara ya million 42 na baadaye mwandishi aliyeleta habari ametangaza gari ina thamini ya Million 8 na nusu. Taarifa ya habri tarehe 28 August mwaka 2008

  HII NI MCHEMSHO AU?. Halafu tunamulaumu JK wakati Tz wenyewe ni wababaishaji.

  TIDO una kazi kweli kweli ndugu yangu.
   
 2. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #2
  Aug 28, 2008
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  mchemsho umeanza hapo..........
   
 3. Guma Mlugaluga

  Guma Mlugaluga Member

  #3
  Aug 29, 2008
  Joined: Aug 20, 2008
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Aliyeandika hiyo habari ni Mwandishi wa Habari au Mhandisi wa Habari. Kazi kweli kweli, unaweza kulia kwa hasira
   
 4. King Zenji

  King Zenji Senior Member

  #4
  Aug 30, 2008
  Joined: Feb 18, 2008
  Messages: 178
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  ...............Daaah kweli hii NIMICHEMSHO plus plus ha haaaaaa
   
 5. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #5
  Aug 30, 2008
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  TvT au TBC? wewe mwenyewe umechemsha!

  Naona hii ni nyepesinyepesi; Mods vipi ule ukumbi utarudi lini?
   
Loading...